Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

Rudia kuangalia hiyo clip utagundua ninachosema mama HP actress mzuri sana kama vip apelekwe kwa lamata😅
Nway m tayari nimeshaolewa na nna familia alhamdulilah! Nisijue kwa upande wako kama umeshaolewa au bado!
Wewe mpumbav mwenye roho ya kishetani usiyekuwa na chembe ya utu, haya maneno unayotamka ipo siku yatakurudia na wewe mpuuzi mkubwa wewe.

Mtu anampoteza mtoto wa kumzaa katika mazingira ya kikatili, halafu kwa ujinga wako unasema eti mama anaigiza? Hivi una akili kweli wewe? Hivi ndio mnavyofundishwa huko kwenye hiyo dini yetu mnayosema eti ni dini ya haki?

Aisee nakuombea kwa Mungu kama huna watoto basi asikupe, na kama unao basi na wewe uje uwapoteze katika mazingira kama haya haya yaan uhai wao ukatishwe na maharamia ukiwa bado unawahitaji mbwa wewe.

Kwamba mahaba yako kwa serikali ya samia ndio yamekufanya umekuwa kiumbe wa ovyo namna hii mithili ya ibilisi? *** kweli wewe
 
Tuna jeshi dhaifu sn, watu wanatekwa na sababu inajulikana dhahiri shairi kabisa kwamba ni serikali na mawakala wao ni jeshi la polisi na usalama lkn jeshi la wananchi limekaa kmy as if hakuna kilichotokea. Hii nchi hii!!!
 
Wewe ndo utalia na kusaga nywele
Haya maneno yako hayashtui
Kwanza huyo mama ana act tu we huon yani hatii hata huruma 😅
Ukinganisha na mama kabendera enzi zile za HP Akiwa anajiona mungu mtu
Kwa hiyo kumbe kabla ya kuonesha ubinadamu ni kufanya kwanza hizi comparisons za kipuuzi kwamba kati ya mama yake na huyu na mama yake na yule ni yupi ambaye machozi yake kisha ndio tuchague wa kumuhurumia si ndio?

Mbona una akili za kitoto sana wewe mwanamke?

Mbona una akili za kipumbav hivyo?

Halafu siku za nyuma kidogo niliona umecomment sehemu kuwa na wewe ni mtumishi kwenye sector ya afya, hivi imekuwaje kwanza ukawa kwenye hiyo sekta ilihali mtu mwenyewe huna hata empathy wala compassion kama binadamu?

Wewe ulipaswa uwe mkufunzi wa wachawi na sio medical worker, maana kwa roho mbaya uliyonayo hata shetani anasubiri.
 
Pole sana, Mungu awarehemu na kuwapunzisha mahala pema mama zetu.
 
mnajiamini nini na hizi kufru?

ni huu urais wa samia tu au kuna kingine?
Hao wajinga wana mawazo na akili fupi sana, hawana maono hata ya miaka mitano mbele maisha yao yatakuwaje, wao wameamua kusimama na samia kwa kwa uovu wote anaoufanya in the name of muislamu mwenzetu....

... Wanamtetea na kusambaza chuki kwa watu imani tofauti na wao wanaoumizwa na utawala wa samia, bila kujua wanapanda mbegu mbaya sana ambayo itakuja kuwatafuna wao huko mbeleni.
 
Nimeona watu wanaleta ishu ya Kabendera kana kwamba Pole pole alihusika, ni kama wanataka kuhalalisha kutekwa kwa Pole pole.
Nilichojifunza kuhusu wabongo kwa hii miaka michache ya Samia, ni kwamba wengi hawaumizwi na matukio ya kikatili wanayofanyiwa watu hasa hawa wana harakati na serikali... bali wanaumizwa na serikali zinazofanya hayo matukio tu basi.

Mfano kama hapa hili suala la HP raia wanakomaa kuleta issue ya kabendera, kana kwamba lile la kabendera ndio linawauma sana kisa tu lilifanyika kwenye utawala wa Magu, hili la HP ni kawaida wala sio la kupigia kelele.. kwa hiyo unaona wanachukizwa na aina tu ya serikali wala sio matukio yenyewe, na ukichimba sana utaona kuna mtofautiano wa kimaslahi na serikali hizo wanazozichukia, hivyo kumbe ni ubinafsi.
 
Nakuelewa sana mkuu, kuna baadhi ya watu huwa wanachukulia mambo simple sana hata yakiwa na uzito gani, ila twende hivihivi tutaelewana tu. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Alikuwepo Gaddafi, Sadam Hussein, Mugabe, etc.. wapo wapi!?, kanuni za hii Dunia ni undefined.. Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kukucha..
 
Eti makamanda uchwara leo wanajifanya wana uchungu na HP halafu hapo hapo wanamkandia Mbowe, hiii ila kwa kweli (kwa sauti ya Kingwendu)😁

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Chukua hii mkuu, HUYU LAZIMA ANATOKA TANZANIA VISIWANI
 
Mkiambiwa ukweli mnapanic...poleni
 
Pole pole alifanya kosa kurudi tz
Ni Mpumbavu tu pekee ndiye atapambana vikali na Serikali kama alivyofanya halafu bado tena kwa Kujiamini akathubutu kwenda kuishi katika hiyo hiyo nchi yenye Serikali hiyo hiyo anayoisema na kuichafua kutwa halafu akategemea yasimkute makubwa.

Wakosoaji waliokomaa duniani kamwe huwa au walikuwa hawafanyi kama alivyofanya Yeye Kitoto na Kulikomgharimu. Wengine hatuna tabia ya Kupepesa macho katika kuusema ukweli hata kama tutachukiwa au kutukanwa.
 
🤣🤣🤣🤣
Mama wa kwanza kutojua tabia za mwanae...et HP ana upendoo😅
Sasa mama ndio ametoa tabia ya mtoto wake ya kweli. Mtu anawezakuwa na tabia ambazo sio za kwake mbele za watu lakini tabia yake ya ukweli ipo siku itajidhihirisha
 
INASIKITISHA SANA SANA SANA 😢😢😢😢😢
 
Unaendelea kudhihirisha nilichosema. Mwanaume akijichanganya aoe mke type yako hakuna rangi ataacha kuona. Sorry, naomba niishie hapa.
Jana Kuna group letu la chuo Huwa tuna peana update na KUSAIDIANA mambo mbali mbaliii...

Jamaa mmoja alileta ujinga na utoto/ dhihaka eti POLEPOLE karudi lini?
Mzee nilikua napata zangu konyagiiii ndogo kimtindo nilimpa majibu ambayo group Zima likasema jamani tuwe wapole na subra.
Naepuka sana mjadala wa watu aina ya huyo member anae leta dhihaka.
POLEPOLE kipindii cha JPM sikupenda sababu ya mambo yake ila baadae nikaja kumwelewa so hii saga yake na mdude zimeniuma sana
Watu wengi wameumizwa na hii saga POLEPOLE hatukani mtu ametoa hoja wao wanamteka na kummaliza
 
Unajua kwanini huwezi kumwelewa?

NB.Kama ujinga ni mbegu, wewe ungekuwa shamba la mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…