Kwani msanii au content creator hawezi kuwa mama mwenye mtoto?Bro kutoka moyoni huyo mama ni content creator namfahamu sema sijui namna ya kuweka video zake. Ngoja nimsearch then nakuwekea picha au video zake.
Sisapoti utekaji ila kwa huyu simuamini.
Toka mwanzo wa mada, kabla sijakusoma huko juu, mimi pia nilikuwa na mashaka na habari hii; pamoja na kwamba hawa watu sijawahi kuwaona wala kuwasikia.Bro kutoka moyoni huyo mama ni content creator namfahamu sema sijui namna ya kuweka video zake. Ngoja nimsearch then nakuwekea picha au video zake.
Sisapoti utekaji ila kwa huyu simuamini.
Tafakarii kubwa Sanaa wengi wamechagua kua kimyaa..Kwa nini tujenge mawazo ya kufa badala ya kupambana kwa hoja, kuwafichua wahalifu (watekaji na wauaji) ili kujenga taifa lenye umoja na mshikamano.
Lazima tuwajengee watoto wetu na vizazi vijavyo ujasiri na matumaini ya kushinda uovu, washirikiane kujenga umoja wa kijamii na kitaifa.
Watu wasiwe na fikra za kuishi kwa hofu kama panya.
Fuata sheria, fichua uhalifu, Jenga hoja zenye mantiki bila hofu.
Raia wengi ni wema, wahalifu ni wachache Sana.
Hahaha!! ELiNyahu 🙌😄Lucky dube aliimba sana kuhusu ukombozi wa mwafrika ila waliomuua ni waafrika wenyewe tena kwa njia ya kinyama na ya aibu.
Mimi mwenyewe ni mdau wa afya mwandamizii senior.ila ukiumwa unawahi hospitali sio?
fullstop, kwishaaa
Inabadilisha nini hata kama ni content creator? Si inasaidia kuliangazia suala hilo mwanga zaidiBro kutoka moyoni huyo mama ni content creator namfahamu sema sijui namna ya kuweka video zake. Ngoja nimsearch then nakuwekea picha au video zake.
Sisapoti utekaji ila kwa huyu simuamini.
Akiwa Content Creator ndio hawezi kufikwa na madhila? Ni bora kungekuwa hakuna taarifa zaidi lkn uzi unajieleza na viambatisho ametoeka toka October 7 lakini bado unashupaza shingo... haya nenda polisi kahakikishe!Bro kutoka moyoni huyo mama ni content creator namfahamu sema sijui namna ya kuweka video zake. Ngoja nimsearch then nakuwekea picha au video zake.
Sisapoti utekaji ila kwa huyu simuamini.
Of all things ndio kitu umeona useme? Kama huwezi kuandika hivi mdogo wako au kaka ako akitekwa, kwanini usiwe na utu kwa wengine?Write your reply...hajaliwa kiboga
Sema matako kwelikweli ukamilishe sentensi kijanaWe nawe tako kweli kweli kwa hiyo akiwa content creator basi anakuwa hana kizazi? Kwamba hawezi kuwa na mtoto sindio? Mbona CCM mmekuwa wajinga wajinga hata kufikiri amnashindwa kabisa kwa sasa
Mama damu hizoo.
Damu ya binadamu inatisha.
Wewe ni mtoto wa kiislam.imani Yako inakufundisha maisha baada ya hapa Duniani na utakwenda kuulizwa.
Msamehe bure.Of all things ndio kitu umeona useme? Kama huwezi kuandika hivi mdogo wako au kaka ako akitekwa, kwanini usiwe na utu kwa wengine?
Hata mimi hili ndo linalonishangaza, Maendeleo ya vitu hayana maana kama uhai wa watu wako upo matatani, watu wanatekwa na kuuwawa alafu unazungumzia barabara sijui nn…ina maana uhai wa watu hauna thamani kwake…Raisi wa ajabu kweli kweli…Utekaji na kupotezwa kwa watu JPM alianzisha akiwa makamu wake SSH. Sasa baada ya SSH kuwa mshika usukani kaamua kumalizia kabisa na tena kapitiliza zaidi. Kinachonishangaza kwa SSH, sijaona hata akilisemea suala la utekaji kwenye kampeni zake; kwa hiyo yy kwake haoni kama ni tatizo ambacho ni kitu hatari sana.