mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Ndo namkumbusha hapa.miaka 5 sio Mingi.atamaliza muda wake na kuacha historia mbaya katika uongozi wake na bado atakuwa na kesi ya kujibuUtekaji na kupotezwa kwa watu JPM alianzisha akiwa makamu wake SSH. Sasa baada ya SSH kuwa mshika usukani kaamua kumalizia kabisa na tena kapitiliza zaidi. Kinachonishangaza kwa SSH, sijaona hata akilisemea suala la utekaji kwenye kampeni zake; kwa hiyo yy kwake haoni kama ni tatizo ambacho ni kitu hatari sana.
Watu wamekuwa katili kupitiliza aise fikiria wale vijana walioponda mabango wameuwawa watoto wadogo kabisa unyama gani huu hatujawahi shuhudia kwani mtu kama hakupendi ndo umuondoe uhai?Ukiangalia video ile dogo anaongea hata hakutukana wala kusema vibaya. Alisema hampendi Samia na apumzike. Hilo limekuwa kosa?
utu kwa vijana wasio na nidhamu wazaririshaji.dawa ni kuwala kiboga tuOf all things ndio kitu umeona useme? Kama huwezi kuandika hivi mdogo wako au kaka ako akitekwa, kwanini usiwe na utu kwa wengine?
kwa hiyo kwako alichofanyiwa ni sawa??Kuna mambo mengine ni ya kujitakia kabisa!
Unajua fika Hali ya taifa letu kwa Sasa kwamba ushindi wa kisiasa was mwanasiasa ni muhim kuliko uhai was raia wa kawaida halafu unarekodi video vya kijinga kama hivyo!!?
Mama ramso ungeomba radhi mapema kabla hayajamkuta mwanao!
Na yule aliyechoma picha Wa Mbeya hadi leo hajulikani kama yupo hai au amekufaWatu wamekuwa katili kupitiliza aise fikiria wale vijana walioponda mabango wameuwawa watoto wadogo kabisa unyama gani huu hatujawahi shuhudia kwani mtu kama hakupendi ndo umuondoe uhai?
Kaa mkujua hakuna mtu mwenye bima ya kuishi milele ipo siku na wewe utakufautu kwa vijana wasio na nidhamu wazaririshaji.dawa ni kuwala kiboga tu
Ndugu wa muislam ni muislam mwenzake, kobazi mnafurahi mkisikia kafiri kauliwaMama asijali mtoto wake ni jasiri inawezekana ameingia porini na wenzake kwenda kutengeneza kikundi cha waasi aje kupindua nchi maana alisema hamtaki Samia, kwahiyo mama asiwe na presha dogo atakuja kukomboa nchi
Tumia hekima kidogoHuyo mama ni content creator huko mtandaoni hamna lolote anatafuta kiki tu.
Huyu Mama Mpumbavu huwa anaigizaga na yule jamaa muandishi wa habari wa mchongo na huwa ana content za kipuuzi.
sidhani kama kuna sehemu kubwa ya kuhifadhi watu wote hawa isijulikane kwa Bongo hii, watu waliotekwa ni wengi sana kuwekwa sehemu bila kuvuja…ni wanauwawa na kutupwa sehemu tofauti tofauti…ayo ndo mawazo yanguKweli wanawachukua na kuwaua au kuna sehemu wanawekwa?
Inawezakana wakawa wanatengeneza maandaki na kuwaweka chini uko, na kupanga kumpoteza mmoja baada mwingine kama vile kuchukua kukuSidhani kama
sidhani kama kuna sehemu kubwa ya kuhifadhi watu wote hawa isijulikane kwa Bongo hii, watu waliotekwa ni wengi sana kuwekwa sehemu bila kuvuja…ni wanauwawa na kutupwa sehemu tofauti tofauti…ayo ndo mawazo yangu
Muislamu mlevi wa Konyagi?Mama damu hizoo.
Damu ya binadamu inatisha.
Wewe ni mtoto wa kiislam.imani Yako inakufundisha maisha baada ya hapa Duniani na utakwenda kuulizwa.
Ramso hajavunja sheria, ametoa maoni yake na kama kutoa maoni ni kuvunja sheria walipaswa kumpeleka mahakani yes mahakama hizihizi za mchongo zinazofuata maelekezo na orders kutoka ‘juu’ kwani at least mama yake angejua mwanae alipo.Kuna mambo mengine ni ya kujitakia kabisa!
Unajua fika Hali ya taifa letu kwa Sasa kwamba ushindi wa kisiasa was mwanasiasa ni muhim kuliko uhai was raia wa kawaida halafu unarekodi video vya kijinga kama hivyo!!?
Mama ramso ungeomba radhi mapema kabla hayajamkuta mwanao!
Hayo ni maisha yake binafsi.ila haifuti kuwa yeye ni muislam.Muislamu mlevi wa Konyagi?
Lini imetokea hii habari?Watu wamekuwa katili kupitiliza aise fikiria wale vijana walioponda mabango wameuwawa watoto wadogo kabisa unyama gani huu hatujawahi shuhudia kwani mtu kama hakupendi ndo umuondoe uhai?