Kama uliona kuna clip moja ya madogo wanaponda bango la picha ya samia wiki mbili zilizopita huku wanatukana....Lini imetokea hii habari?
Dah, ukatili wa hali ya juu sana. Yeye na machawa wake watakwambia huu ni utu, kwamba wanalinda amani, umoja na mshikamano wa Taifa kwa vitendo vyao hivi viovu, vya kikatili. Maisha ya Watanganyika na kuku kwao hakuna tofauti.Kama uliona kuna clip moja ya madogo wanaponda bango la picha ya samia wiki mbili zilizopita huku wanatukana....
...inavyosemakana ndio wale ambo miili yao imeokotwa kule kibaha.
Hakika ni ukatili ambao umechanganyikana na upumbavu wa hali ya juu.
Hata makundi ya kigaidi huwa hayafanyi ukatili wa kijinga kama huu.
Wiki iliyopita wameokota miili yao Kidimu vichakani njia ya kuelekea Vikawe/Baobab/MapingaLini imetokea hii habari?
Hii miili imeweza kutambuliwa kwa uhakika na ndugu zao au imeharibika kiasi cha kuwa vigumu kutambulika?Wiki iliyopita wameokota miili yao Kidimu vichakani njia ya kuelekea Vikawe/Baobab/Mapinga
Hivi nyie wapumbavu kwanin hamna kabisa utu nyie?Huyo mama ni content creator huko mtandaoni hamna lolote anatafuta kiki tu.
Huyu Mama Mpumbavu huwa anaigizaga na yule jamaa muandishi wa habari wa mchongo na huwa ana content za kipuuzi.
Katika jicho la kishetani kumteka/kumuondoa mtu kama Polepole ni understandable maana inafahamika alikuwa ni very threat kwa utawala hasa hiyo deep state...Vijana wadogo kama huyu yafaa kumuonya tu. Atajirekebisha.
You can't kill everybody. Amin tried it but ended killing 300k only.
Baada ya huu utawala kupita tutakuwa tunaishi kwa visasi sio poa ndugu, familia ya samia na kikwete zitaandamwa sana miaka ya mbeleni hukoHii mambo ya kutekana, mpaka mabalozi, kuna siku Kikwete mwenyewe atajikuta wamemteka, Mama naye asifiri atakaa hapo, siku akitoka atashangaa naye wanamteka, haya mambo huwa yanaanza hivihivi, watu wanazoea kutenda kinyume na utaratibu
Waswahili huwaita hao wa sampuli hizo 'muislamu jina'.Hayo ni maisha yake binafsi.ila haifuti kuwa yeye ni muislam.
Kitendo cha kuua vijana wadogo it totally inhumane, probably kwa kuwa waneshaua sana so naturally they've turned themselves into serial killers. Damu ya waliowaua inawazingua vichwani mwao so for 'sanity' they've to keep on killing, wengine wako humu JF you can tell from their comments.Katika jicho la kishetani kumteka/kumuondoa mtu kama Polepole ni understandable maana inafahamika alikuwa ni very threat kwa utawala hasa hiyo deep state...
Haya mtoto kama huyo ana tishio gani kwa huu utawala??
Huyo mtoto si wangeweza kumkamata na kumchalaza viboko tu kisha wakamwambia october aende akatick na angebadilika na kuwa mtiifu?
Aisee ninachoona hapa magenge yaliyopewa hii kazi ya kishetani ya kudeal na wakosoaji yamejaa vilaza tupu, yaani wanachojua wao ni kuua tu wapumbavu hao, hawajui hata watu sahihi wa kudeal nao....
Sema watanzania tunaumizwa sana na huu utawala wa watu wenye akili ndogo, itabudi kila mmoja wetu ajitafakari kivipi watu 67m tunakubali kupewa maumivu makali hivi na watu wachache wasiokuwa na akili hata kidogo.
Ndugu washaitambua na kwenda kuzikaHii miili imeweza kutambuliwa kwa uhakika na ndugu zao au imeharibika kiasi cha kuwa vigumu kutambulika?
Ukitazama kwa makini kuna kasura flani wanashabiana hv mwenyewe nilikiwa najoulizaKumbe Abdul ni uzao wa penzi la kiwete na kiziwi wazee ndo maana hagusiki
Una uhakika?Kumbe Abdul ni uzao wa penzi la kiwete na kiziwi wazee ndo maana hagusiki
Ukitazama kwa makini kuna kasura flani wanashabiana hv mwenyewe nilikiwa najouliza
Mbona unauliza kwa taharukiUna uhakika?
Utajuaje pengine Mimi mdogo wake na AbduliMbona unauliza kwa taharuki
Yani badala ule maisha huko kabla maza ako hajapinduliwa uko humu kuzurula,Utajuaje pengine Mimi mdogo wake na Abduli