Uchaguzi 2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

Ataanza kuchapwa baba yako
 
nakumbuka tu siku moja aliongea pointi "watoto wa kike msiwafunguliw wanaume mapaja"
 

afu wao ndo kila siku wanasema vijana mjiajiri☺☺☺
Yeye kashindwa kutulia na mumewe pamoja pesa zote walizochuma mpaka ikulu wamekaa
 
Sasa huyu maza anajiaibisha. Anakaba nafasi za watu ambao wangeweza kujijenga kisiasa na kufika mbali? Ni nini anachotafuta tena muda huu kuhangaika na purukushani za kijinga?
Ni democrasia hiyo!
Unaonaje lakini mafuriko ya uchukuaji form huko ccm?
Democrasia inapanuka sana ndani ya ccm na nchi kwa ujumla

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Alishapata nafasi ya kumshauri raisi kwa ukaribu kwa miaka 10,, now anataka akamshauri Rais kupitia bunge... Kila la kheri Mama Salma
 
watia nia wamekuwa wengi kushinda hata wapiga kura jamani au mnaonaje?
Kweli kabisa mimi mtaani kwangu kila mtu amechukua form ya kugombea si wanawake si wanaume ni mm tu peke yangu sijachukua form pamoja na watoto na ma housegirl....duh..
 
Sasa si mpaka awe na akili hizo!
 
AISEE!!

kila la kheri bi mkubwa ... wengi wetu tunaweza tukawa
tunamshangaa mama lakini pale bungeni nadhani
kuna fedha zinamwagika tu buree
ugumu ni kuingia tu.

mama ameshaonja hizo fedha zimemnogea
si ajabu hata sisi pia tunao mshangaa
tungelikua tumeshapita hapo bungeni na kujua namna
fedha nyingi zinavyoingia bank kwa urahis
sasahiv tusinge mshangaa mama yetu.
 
Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete leo amechukua fomu ya kugombea ubunge katika jimbo la Mchinga - Lindi.

Clouds Media

Nadhani ule ule Utamaduni kwa Wake wa Marais ungebakia tu vile vile kuliko huu mpya. Hivi huyu Mama akiukosa Ubunge haitokuwa Fedheha?
 


Hili jimbo litu wapinzani na watawala baada ya October 25,tunamchapa mapema akalee jukuu huko. Hana njaa na siasa haziwezi,aje kutusaidia ndugu zake wa Lindi kwa namna nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…