Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

jk mzee wa starehe,kapozi kistarehe alituongoza kistarehe,hana njaa njaa
 
Wacha wafu wazike wafu wenziwe
Kama mlidhani kuwa mtampangia imekula kwenu! Ni mama anayejisimamia!! Alijua Dunia nzima itaangalia uso wake! Na hilo ndilo jibu alilowapa ninyi mnaolazimisha Dunia iamini kuwa Tanzania tumeelemewa na corona!! Bi Samia Suluhu Hassan Hapangiwi!! Jibu ni kwamba hatuna tatizo kivile. Hajakataza mtu kuvaa barakoa!! Si ajabu hata wewe hapo umeandika uzi huu wala huvaagi barakoa!
 
Mbwembwe nyingi kumbe wewe ulikuwa dereva tu wa TISS 😂😂😂
 
Utumwa wa barakoa bakini nao nyie wenyewe na familia zenu! Msimpangie mama yetu!! Atavaa akijisikia kuvaa lakini si kwa shinikizo la kimataifa! Tanzania hatuna corona kivile!!
 
Inawauma Sana wazungu kuona Tanzania hatuna hofu ya corona wakati huko kwao saa hii pamoja na kupata chanjo lakini wameanza lockdown ya awamu nyingine!! Sisi tunadunda tu, maana tumemtanguliza Mungu!!
Ndiyo maana kila anayefariki wanalazimisha kuwa kafa kwa corona!! Hata Magufuli wanalazimisha hivyo!! Watukome!!
 
Ondoa "INAWEZA"
Inatumiwa kama cover kuwatisha viongozi na kuassassinate viongozi pamoja na kuua uchumi. Global reset
 
Kwa jinsi ugonjwa huo unavyoelezeka, muda unaotumia kumchukua mtu,njia unazoweza kuambukizwa na muda uliokaa Tz tangu uingie,jinsi ambavyo shughuli zinaendelea kila siku, na ukaangalia njia zilizotumika kujikinga nao tz utagundua kuwa tayari nguvu ya Mwenyezi Mungu zinafanya kazi.

MUNGU ATUSAIDIE.
 
Tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu afubaze virusi hivyo na dunia nzima ijue kuwa kuna nchi inamtegemea Mungu ambaye wao wamemsahau na kumpuuza kwa maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Ila tahadhari pia ni muhimu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Na jambo la kusikitisha, viongozi wanatakiwa kumfariji mama Janet, mjane kwa kuvaa barakoa kama yeye alivyofanya,badala ya kutovaa kwa ajili ya kumuenzi Magufuli ambaye ametangulia mbele za haki!

Kwa ubishi huu,korona itagharimu maisha ya watu wengi sana!
 
...rais kaonyesha msimamo.
Big up madame president...umeanza kwa kutokuyumbishwa.
 
Mbona unalazimisha mambo,tushakwambia Tz hatuna Corona.
 
Kwani ndio leo ameanza kutokuvaa barakoa?
Jibu jepesi kwa ushauri mjaarabu. Rais is a public figure, kumuuguza Rais siyo mchezo.once bitten twice shy! There is no way lazima avae barakoa.
 
Your advice is brilliant. Masking is one of the scientific methods of curbing the pandemic.
 
Ooh uzi mzima unalia lia tu. Okay kesho atavaa mkuu. Kama mzee kavuta kwa corona mbona mkewe yupo fit au haiambukizi?(nukuu hapo juu kuwa corona imemgharimu uhai na urais)
Atakwambia alikua hakai nyumba 1 na Mama Janet, walikua wanaingia mlango mmoja ila ndani ya ule mlango kuna nyumba ingine mama janet anaenda na Mh. anaenda.

Let this people talk,you can not stop them "we can only ignore them"
 
Evarist Chahali Kama hofu yako ni maambuki ya COVID 19 fanya kitu chochote kilicho ndani ya uwezo wako kutoa suluhu kwa hao watanzania unaowaongelea hapa akiewemo rais wetu. Kumbuka hakuna rais wa nchi bila wananchi...
WaTz tuchukueni hatua za kujikinga na Covid-19 ikiwa pamoja na kuvaa barakoa. Uzembe na kupuuuza kutatumaliza. Dawa ya kiburi ni kaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…