Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

Eti kuinusuru Tz na janga la corona, hivi ww ni kichaa pia!? Kuna nchi gani ukiacha Tz ambayo hali ya corona imenusurika!? Hivi tulivyo we are better off kuliko nchi yeyote duniani! Ww unaeona hali ya Tz ni mbaya hama nchi au vaa barakola tatutatu, na ujifungie ndani!
Kaa kila second corona corona, barakoabarakoa upuuzi kabisa mfyuuuuuu!
Kwa taarifa yako huyu mama anaweza na asivae barakoa ili ww na wspuuzi wenzio mnaotaka awafurahishe muendelee kununa sasa mfyuuuuuu!
 
Ile ngoma unapenya mpaka kwenye macho,hata kwa kushika tu sehemu zenye virusi, so kwenye mikisanyiko barakoa bado si chochote.

Mkuu inahitaji ushike huko usoni baada ya kumbe na mikononi.

Ni kweli kuwa sote tunapokuwa na mabarakoa uwezekano wa kuambukizana unapungua zaidi.

Madame President ni vyema avae barakoa.

Kwa kweli ni hatari kubwa na hasa mpaka huu msiba uishe, mola wetu mbona atunusuru tu?
 

Jilinde achana na LONGOLONGO. Corona ipo chini na imeua wengi sana na itaendelea kuua wengi sana kutokana na watu kukosa maarifa na dharau iliyokithiri.
Umetoa Tahadhari au umetoa Taarifa ya Vifo vya Mwezi ujao na kuclaim tutasaga Meno?
 
Jilinde achana na LONGOLONGO. Corona ipo chini na imeua wengi sana na itaendelea kuua wengi sana kutokana na watu kukosa maarifa na dharau iliyokithiri.
Naelewa Corona Ipo. Ila maneno ulioandika sio ya Busara hata kdg! Unashadadia Taifa letu kupata Vifo eti tutasaga meno mwezi ujao. kumbuka Hapa Duniani tunapita hakuna atakaebaki, unaweza usife kwa Corona but ukafa usingizini... Hakuna Mjanja.
 
Kwani wapi nilipoandika kwamba mimi sitakufa wewe!!! Acha kuandika kile ambacho mimi sikukiandika.
Naelewa Corona Ipo. Ila maneno ulioandika sio ya Busara hata kdg! Unashadadia Taifa letu kupata Vifo eti tutasaga meno mwezi ujao. kumbuka Hapa Duniani tunapita hakuna atakaebaki, unaweza usife kwa Corona but ukafa usingizini... Hakuna Mjanja.
 
Dr John Pombe Magufuli hakua wa kufa leo wala kesho ; tatizo kubwa ni ile hali aliyoiweka na washauri wake kushindwa kuhakikisha Daktari wa Rais anakuwa na msimamo ; kama Ambavyo tulimlaumu Dr Mwakyusa kwa kifo cha mwalimu kwa uzembe na kumuacha Mwalimu Butiama akiwa amezidiwa huku yeye yuko dar na chaguo lake la kwenda general hospital ya at thomas kutibu leukemia badala ya india au China , ( Mwandosya alipona Leukemia india )
Dr Machemba hata kama ni home boy kazembeaa pamoja na washauri wengine akiwemo dr Ngwale hawa pamoja na walinzi wa Rais wamezembea sana

Rais Magufuli alitakiwa kwenda kubadili Pacemarker Ujerumani

walichukua hatua gani baada ya contact wa Magufuli Kijazi kfariki?

kama Magufuli aliugua akapata nafuuu hata kama ni kwa masaaa 48 kwanini hawakumkimbizaa Ujerumani mara moja kwenye ile hospitali iliyomtibu mara ya kwanza ????? ni masaa nane tu kwa ndege ya rais

Tunaomboleza lakinj ni wakati wa Idara ya Usalama kuweka madaktari competent wa Rais ; hawa dizaini ya dr mwakyusa ; dr Ngwale ; au machemba waachane nayo

Ndani ya Emilio Mzena kuwe na timu ya madaktari bingwa nchini wa kushauri madaktari wa viongozi ,‘najua viongozi wetu wanapenda Madaktari Rafiki zao ambao sio competent !!!!! where is our medical intelligence?!?!

Najua madaktari mfano wa Mama Samia walio mzena au Lugalo sio the best !!!!! Hili la Magufuli Rais kulazimisha daktari kwakua tu ni Rafiki wakati wengine wana degreee za east europe na Russia tuangalie !!?

we have the best doctors wawe panel ambayo daktari wa Rais atatakiwa kuomba ushauri pale ambapo Rais ana serious ailment !!!!

Maisha ya Magufuli yangeweza kuokolewa hata kama alikua hataki kwenda Ujerumani kulikua na namna ya kumfikisha huko as long as Baraza la Usalama limekua briefed

Mimi hapa ndani nili muendorse Magufuli kuwa Rais toka 2013 ; pamoja na kutofautiana naye kwenye human rights issues sera zake zote zingine nazikubali ....... alikua na washauri wabaya ambao walishindwa kuboresha image yake kwenye mambo ya haki za binadamu
; ukitoa hilo yaliyobaki ni 100%
 
Dada, social distancing ikiweza kuwa applicable hakuna haja ya barakoa.

Kwenye mikusanyiko ya watu ukiacha barakoa hasa ukiwa njemba (mwanaume), mzee na magonjwa mengine yanakuhusu basi tambua umechoka kuishi duniani.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Umemuona Tundu kwenye video alipoamua kuingia chimbo pale kariakoo!?
Nna uhakika evarist chahali hana huu uzoefu?
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha ni Corona? Acha ufala wewe Mzee anatatizo la moyo tangu muda soma gazeti la chuo kipindi hicho Acha Akili za Fala lisu
 
Umemuona Tundu kwenye video alipoamua kuingia chimbo pale kariakoo!?
Nna uhakika evarist chahali hana huu uzoefu?

Umeona mlolongo lakini:

Mwanaume, mzee, magonjwa mengine.

Mtu waweza jifanyia risk assessment mwenyewe au siyo?
 
Yaani utaligawa Taifa kwa kuvaa barakoa!
 
Leo umeandika bila mihemuko, pamoja na kwamba unadhani umeandika kitu cha maana sana.

Unakazia: "Hii ndio hali Halisi", kwa hiyo.....? iachwe iendelee kwa vile ni hali halisi?

Unajua kwa nini unaiita "Hali Halisi"? na unadhani kwa nini hali iko hivyo?

Wewe unafikiri, "Kuwa Hali Halisi" inatosha kuondoa hatari inayowakabili wananchi?

Unaiita "Hali Halisi" kwa vile huoni mizoga ya watu imetapakaa mitaani?

"Hali Halisi", unadhani hakuna watu wanaopoteza maisha kutokana na ugonjwa huu na kuwatisha wananchi kuachana na "Hali Halisi"?

Umejiuliza hasa, kwa nini watu kuona/kuwa "Hali Halisi" wakati wakijua kuna ugonjwa? Umejiuliza swali hilo?

Sijui kama una uwezo wa kujibu maswali mengi niliyoandika hapa, lakini ngoja nimalizie kwa kueleza yafuatayo.

Ni dhahiri kabisa hakuna asiyejua kwamba corona ipo ndani ya jamii, acha watu wa kawaida, ila viongozi wenyewe wanalijua hilo barabara.

Jambo la kushangaza ni hili: Ukiangalia picha/video unawaona viongozi, hata kusalimiana hawashikani mikono, Kwa nini?

Wameambiwa corona inaenezwa kwa kushikana mikono, lakini haiambukizi kwa kupumuliana vitone vya mate?
Ni nani aliyewaambia corona haiambukizi kupitia mfumo huo wa kupumuliana; kwa sababu kama wangejua hivyo wasingeghaili kuvaa barakoa! Kwa sabau barakoa inazuia kusambaziana hivyo vimate toka mtu mmoja hadi mwingine.

Hawashikani mikono kwa nini? Waliambiwa kuwa corona inaweza kueneza kwa njia ya kugusana, au kugusa vitu vilivyoguswa na mwenye ugonjwa huo?

Bila kutaka kukusaidia katika kujibu maswali niliyokuuliza hapo juu ngoja nikuambie hili:

Hawa viongozi, ikiwemo Samia mwenyewe, bado wanatimiza matakwa ya marehemu kiongozi wao Magufuli, aliyekataa na kutishia watu kuhusu kuvaa barakoa.
Huyu mama, kama si kesho au keshokutwa, hamalizi mwezi bila kuvaa barakoa. Akiendelea kughairi, basi hana washauri wa kumshauri aache kiburi cha kumuuiga mtu mwingine.

Usipojibu maswali niliyokuuliza nitajua huna lolote unalojua; na utanilazimisha nikupe darasa.
 
Akijibu nistue
 
Yaani utaligawa Taifa kwa kuvaa barakoa!

Mama Samia ni mlezi wakambo kwenye awamu hii. Nimeshauri ahandle hawa watoto alioachiwa with wisdom.

Yah kuligawa taifa katika muktadha wa Public perception... Na nimeeleza how kimtizamo ataonekana endapo atakurupuka kuvaa kama anti-Magufuli wanavyomshauri.

Hata sasa, tayari kuna anti-Magufuli wanamnyoshea kidole kutovaa! And guess what pro-magufuli wanaona it's ok kutovaa.

Au Mkuu huu mgawanyiko wa timu huuoni.?

Mwisho wa siku lazima achague upande na kama Raisi awashawishi wa upande mwingine kuwa aliko ni sahihi na asitumie nguvu.

Ni maoni tu Mkuu wangu.
 
Hivi kuna kazi gani kuvaa barakoa au hawana? Hizo kazi tutachapaje wakati vifo vimetamalaki?.
 
Ndio hali halisi kwa hiyo aje na suluhu au ushauri utakaomaliza au kubadili mindset za watu
Sio kulalama tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…