Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

 
Nina biashara na kodi nalipa,na Mimi siwezi kwenda kukopa bank kipuuzi puuzi kwa kuweka nyumba au Mali zingine.
Riba zitawamaliza,ndo Mana mnakwepa makodi.
Mlitaka msilipe ama?Tulipe Kodi kwa pamoja Kama njia zetu Ni Safi na si wengine mnalala mbele kisa Kodi,mnalimbiliza miaka10 afu mnataka niendelee kuchekewa
 

Nyie madogo upstairs bado sana.
Kuna beberu zaidi ya kakoko, Ben wa TRA,na huyo dogo alikuwa Hazina. Hapo hujagusa akina Tanroads... na hawa wote walikuwa wanafugwa na beberu mkuu aliyevaa ngozi ya kondoo....
Hayo madini ya Tanzanite na ukuta wa magumashi anayeiba kwa kushirikiana na ndg zake wa Rwanda ni nani ?
Mbona haikuwa inasema mnatuzuga tu na magawio...
Kule Kigamboni hekalu zile pesa zimetoka wapi waziri dogo wa juzi juzi tu....

Msitufanye wapumbav...tunajua mambo yenu na report ya CAG ya Jan- March zilizochotwa Hazina ikitoka sijui mtajificha wapi.... !
Mnamuombea mabaya sababu mnaona anamwaga mboga...
Pesa ikiwepo mfukoni tutalipa kodi tuu...
Mbaya hili genge lenu la wachache kujichotea kilaini huku mkizingua na fiksi za mabeberu....
 
Acha upuuzi wewe, kodi hailipwi kwa kuwanyang'anya pesa kwenye acc za watu.
Mwendazake ameiba hela nyingi za wafanyabiashara na ndo hizo zilikua zintumika kujenga chato na alikua anahifadhi mnikulu.
Huyu mnikulu alikua anatembea na mke wa jamaa flani alikua anampa vx za ikulu kwenda nazo msibani moshi na ktk harusi za wadogo zake.
Maduka ya kubadili fedha alizikomba hela zote kwa visingizio kibao, watu wamekufa kwa presha.
Maduka kariakoo yalifungwa, wafanyabiashara wamefilisika
 
Stories za vijiweni hizi!
 
yah umeongea sahihi huyu mama inaonekana ana mhao hajatulia. Anaondokea gia ya tano hatoweza kufika mbali.
 
hatavuna mabua,kodi ni swala la kisheriaa tutalipa ssiyo kufunga acc za watu na kuwapora fedha zao bennkii kiiisiinngizzio koddii,, tajiri wa kwaanzaa afrika dangote kkalalamika swala laa kodi na uwekeezaji, mazingira yangekuwwa mazuri angeffungua viwaandaa vinngapi na kutenggeneza ajira. je mwendakwao si alikuwa anapewa mikopo na misaada wa nchi ulizzotaja, unajua deni la taifa limeongezeka sh. ngapi?
 
Ukweli misuli ya serkali ilitumika kupita kiasi katika kukusanya kodi had I wafanyabiashara kufunga biashara na wengi tumeona.Anachotaka mama ni kuretain wafanyabiasha na si kuwafukuza.Hata wao wanafahamu serkali inapasa kukusanya kodi; lakini siyo kwa misuli kana kwamba mfanyabiashara ni mhalifu ktk nchi hii.Hakuna Raid ambaye angeingia madarakani bila kuleta matumai mapya.Tumwache mama afanye kazi kwa amani
 
Nyoka hawezi kuishi kwa kula mkia wake.
 
Tatizo mnafikili kuendesha nchi nikutumia ubabe mda wote, mama anajua, wananchi tunajua umuhim wa kodi, ila sio katika mazingira ya Sasa ya TRA , tuje na sheria rafiki , kuanzia makadirio ya kodi, ulipaji wa kodi na KWA wale wakwepaji wa kodi ,haya Mambo yawe wazi,KWA mfanyabiashara na mkusanyaji sio leo afisa wa TRA anategemea ameamukaje siku Iyo na makadirio yataenda hivyo na bahada ya mwaka unaambiwa ulikua hulipi mapato vizuri, rafiki yangu mwaka jana alipigiwa den la m300, wakati mtaji wake m60 hatufiki, kakaa siku sita Hali, mpaka ndugu wakaanza kamata KWA lazima kumnywesha uji,
 
Sasa kama una kibiashara cha mitumba usitufundishe siye magwiji.
Hulipikodi
Huna returns
Huna querterly tax
Hujaariri mtu kulipa employment taxes
Huna ofisi
Hulipi mafao ya ajira

Vileseni vyako vya kupanga mitumba barabarani vinafaa kwa kuandamana tu.
 
Waje watubembeleze na watumishi ktk PAYEE kama wapo serious! Wasiwe wanakata juu kwa juu😂🤣😂! Hii nchi ni yetu sote isee!
 
Ana matumaini eti wale wawekezaji waliokimbia Nchi wanaweza kurudi bada miezi minne-mitano hivi na hivyo mapato yataongezeka.
 
Sawa
 
Ana matumaini eti wale wawekezaji waliokimbia Nchi wanaweza kurudi bada miezi minne-mitano hivi na hivyo mapato yataongezeka.
sijasikia mahali kasema miez minne au mitano. ku gain trust ya mteja baada ya kumkimbiza ni long term project. sio kitu cha miez minne.

kuja watakuja ila sio that fast.
 
Hiiii ndo raha ya chama chetu cha mapinduzii, kila kiongozi anakubalika haraka saaanaaa kwenye jamiiii
 
Huyu mama ni dhaifu sana, na ameshajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, ngoja acheke na nyani alafu aje avune mabua, lakini muda utasema ngoja tumzoom.
Hakuna kitu kama hicho kitatokea.
Niny mlikuwa mnatumia MISULI BADALA YA AKILI!
Mama ana akili sana kuwazidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…