Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Nashauri tusishikamane wakati huu tu, tushikamane kwa nyakati zote, sisi ni Tanzania na Tanzania ni sisi. Tufute kesi za unyanyasaji, tutubu kama taifa, tuanze upya, tukifanya hivi naiona Tanzania yenye baraka lakini pia tusipofanya hivyo naona kinyume chake
 
Yaani ufutiwe kesi kirahisi kiivo utasota tu . Fuata sheria
 
Huyu mama naye aache unafiki. waliovuruga umoja na mshikamano wetu ni CCM na Serekale yake ya awamu ya 6 wamehubiri chuki, ubaguzi dhidi ya wapinzani kana kwamba si watanzamia, sameua, wamefunga watu, wamewaita kila majina mabaya, wameua miradi ya watu kwasababu ya tofauti za kisuasa. Hata sasa wapinzani wakizushiwa vifo hakuna linalofanyika.
 
Acha uongo mbona hata akina Halima &co wamegundua utopolo wa CHADEMA ndiyo maana wameenda kinyume. Mtu mwenye akili timamu lazima apuuze mikakati yenu.
 
Nataka kuwahakikishia, Tanzania tuko salama, ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua mara homa mara chochote kile, lakini niwaombe, katika wakati muhimu wa Watanzania kushikamana ni wakati huu- Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais akiwa ziarani Tanga
 
Watoto wa watu mmewashika "mateka" kinyume cha Matakwa yao ,ndio maana hata raha hawana ....ukweli utajulikana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…