PreGE2025 Mama Samia shtuka sasa, suala la Lissu unaweza kuwa unaingizwa chaka!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
1745044539336.png

Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri, Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.

Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu, wenye profile kama Lissu.

Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua ume elemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.

Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
 
View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.

Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu wenye profile kama Lissu.

Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua umelemewa.

Unauhakika wa 80% unaogopa reforms free and fair Election mnatuonaje nyie?
 
wahalifu waropokaji, wachochezi na wakiuka sheria wawajibishwe kulingana na uhalifu wao kwa mujibu wa sheria bila kuomba huruma ya Rais,
Lazima sheria ziheshimiwe 🐒
 
Sisiemu haiwezi kushinda kwa 80% haiwezekani na haijawahi kutokea Ccm kushinda kwa kiwango Kama ulichotaja .
Hapo unajifikiria mwenyewe, hujui kuwa kuna watu wengi wanaofikiria stability ya mchi kwa biashara zao na maisha ya kawaida.
 
View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.

Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu wenye profile kama Lissu.

Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua umelemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.

Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Si alishawahi kufoka kwamba zile sheria kandamizi za Magu bado zipo na wanaweza kuzitumia? Au umesahau response yake ya Samia must go? Nashindwa kuelewa kwanini mnajitahidi kuonyesha kana kwamba anashauriwa vibaya na haya yanayotokea yeye binafsi hahusiki. Kwa muundo wa uongozi wa nchi yetu, yoye unayoyaona yana baraka zake. Kuna wakati alipoanza uongozi wake kama vile alitofaitiana na akina IGP Sirro ila baada ya muda nadhani alielewa umuhimu wa polisi kwa CCM kubaki madarakani. Haya unayoyaona yanaendelea nchini including kukithiri kwa ubadhirifu/rushwa vyote vinatoka juu.
 
wahalifu waropokaji, wachochezi na wakiuka sheria wawajibishwe kulingana na uhalifu wao kwa mujibu wa sheria bila kuomba huruma ya Rais,
Lazima sheria ziheshimiwe 🐒
Mkuu wa Komunisti ndio wako hivyo.
Trump na ubabe wake huko marekani,wananchi wa huko wanampa vipande vyao wapendavyo.
Ukitaka kurestrict opinion, hata za kijinga, wewe ndio unamatatizo.
 
Huu ndo ujinga ambao mmeaminishwa na sisisemu
Siyo ujinga kama unavyofikiria.
Mnasahau haraka kuwa akiwepo Mwendazake, biashara zilifungwa kwa fujo na watu kukosa kazi sekta binafsi.
Watu waliondoa amana zao na benko zikaanza kusuasua.
Watanzania mna memory ndogo sana.
 
View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.

Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu wenye profile kama Lissu.

Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua umelemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.

Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Samia alishaambiwa na Marehemu Mzee Ruksa kuwa adui yako si wapinzani bali ni wale wa kijani wenzako. Kuna hawa viumbe wawili wanamharibia sana kwenye majukwaa,guluguja na yule kiumbe toka hifadhi ya Gombe
 
Attachments

  • FB_IMG_1744113818698 (1)~2.jpg
    FB_IMG_1744113818698 (1)~2.jpg
    26.7 KB · Views: 41
  • FB_IMG_1743955210578.jpg
    FB_IMG_1743955210578.jpg
    32.6 KB · Views: 38
View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.

Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu wenye profile kama Lissu.

Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua umelemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.

Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Tuna rais wa hovyo haijawahi kutokea. Unasema kuna watu wanamuendesha kama gari bovu! Hovyo kabisa. Bora Mungu ampende zaidi tupumue tena kama kwa Magufuli
 
wahalifu waropokaji, wachochezi na wakiuka sheria wawajibishwe kulingana na uhalifu wao kwa mujibu wa sheria bila kuomba huruma ya Rais,
Lazima sheria ziheshimiwe [emoji205]
Mkuu sidhani kama una akili timamu

Hapa JF tangu nianze kusoma maoni ya wana ccm na wanachadema you are totally abnormal

Hicho kichwa ulichopewa kiongozi usikibebe kama mzigo mingine juu ya mabega

Yakupa utumie kufikiri kwa kutumia hicho kichwa juu ya mabega na usikifanye kama mzigo

Neno wahalifu mpaka mahakama inapothibitisha ,Sasa unaongelea sheria ipi ? Kama huelewi mgawanyo wa madaraka
 
View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.

Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu wenye profile kama Lissu.

Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua umelemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.

Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Atumie fursa hii kutoa wahuni, ili Naye asionekane kama wale birds sijui flying together Wana rangi Sawa sawa
 
Back
Top Bottom