wahalifu waropokaji, wachochezi na wakiuka sheria wawajibishwe kulingana na uhalifu wao kwa mujibu wa sheria bila kuomba huruma ya Rais,
Lazima sheria ziheshimiwe 🐒
Unaweza kutuwekea, Kwa ufupi , maazimio ya tume hizoHata wewe Jidu La Mabambasi si ni mwana CCM...?
Kama una majibu ya maneno tu badala ya kutenda, basi jaribu kuzijibu hoja hizo uone kama zitakuwa ni majawabu....
Hoja za CHADEMA zinazochagizwa na kaulimbiu ya NO REFORMS NO ELECTION hazihitaji kujibiwa kwa maneno ya kwenye khanga kama mnavyofanya sasa huko CCM...
Hoja za CHADEMA ni hoja za wananchi, zimebeba ukweli unaowakodolea macho, hazihitaji longolongo wala mbambamba bali kutenda...
By the way hoja zote za reforms za kuwezesha uwepo wa free, fair and transparent electoral system kwa kufanya marekebisho au mabadiliko ya kikatiba na kisheria hazijaanzishwa na Tundu Lissu na CHADEMA...
Hoja hizi ziliibuliwa na nyie wenyewe CCM kupitia tume nne mlizoziunda ambazo ni;
1. Tume ya Jaji Francis Lucas Nyalali ya 1992
2. Tume ya Jaji Robert Kissanga ya 2003
3. Tume ya Jaji Mark Bomani ya 2010 na
4. Tume ya Jaji Joseph Sinde Warioba ya 2014
##Cha ajabu mlivyo na akili kama za mende au panzi, eti mnajifanya kujizima data na hamjui lolote na kuendekeza propaganda za miaka ya 1945...
##As things are now, there's no other way to do things differently rather than to act....
##Hakuna majibu ya maneno isipokuwa kutenda...
BROTHER Jidu La Mabambasi IT'S NOT TIME FOR TALKING, IT'S TIME TO ACT, AND THIS TIME IS NOW, NOT TOMORROW. CCM AND THEIR GOVERNMENT HAVE TO DO THE NEEDFUL NOT HARRASSING DISSENTING OPINIONS...!!!
Hakuna lisilozungumzika.Hata wewe Jidu La Mabambasi si ni mwana CCM...?

Hawezi kustuka.View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri, Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.
Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu, wenye profile kama Lissu.
Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua ume elemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.
Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Drama Kama kawa
➡Kama ni kuzungumza tumeshazungumza tena kwa kutumia tume mbalimbali zilizofanya tafiti za kitaalamu kabisa na zote zikasemaHakuna lisilozungumzika.
Hii nchi ni yetu sote.
Kuna hii piaQuote from Mange Kimambi
" Sijawahi kumuona mwanamke katili kuliko huyu"
Mange sio msahafu ila Lina fikirisha labda ni remote controlled from Msoga?
Drama au uovu wenu unamulikwa duniani kote, mnaendesha nchi kama gulio na kuacha kufuata taratibu na msingi wa katibaDrama Kama kawa
Mmeona wananchi wako kimya sasa mnaandamanisha threads tu
Maana jamii Haina muda na drama
Hangaikeni
Sisi kama chadema original haturidhishwi na ndumu za chakandumuzDrama au uovu wenu unamulikwa duniani kote, mnaendesha nchi kama gulio na kuacha kufuata taratibu na msingi wa katiba
😃😃😃Anaingizwa chaka na nani?
Hizi sarakasi ni aibu kwa taifa.
View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri, Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.
Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu, wenye profile kama Lissu.
Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua ume elemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.
Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Swala lakumkuza Lisu na CDM ni miradi ya watu ,watu wanamtengenezea mama hofu ambayo haipoo,Bado CCM inawapiga kura wengi sana mitaani kuliko CDM tatizo lilipo CDM hawataki hata hiyo 20% CDM wapate.hapo ndipo wanaharibu ila uchaguzi ukienda huru na haki na kamizengwe kidogo tu kama kasikuzote bado CCM inanafasi kubwa kwa Tanzania bara.Zanzibar ACT imejimaliza ,kwakulidhika navijisenti na bakshishi ya vyeo walivyopewa upande wa Zanzibar safari CCM ni mdebwedo tu.View attachment 3309107