Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #61
Kwa kweli mama ajipatie independent opinions.Mama Machale yakucheze!

Hata wewe Jidu La Mabambasi si ni mwana CCM...?View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri, Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.
Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu, wenye profile kama Lissu.
Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua ume elemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.
Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Mtu ana elimu ya kuunga ungaView attachment 3309107

We umeshindwa kumshauri mke wako utaweza kumshauri Rais wa nchi? Bwege tuView attachment 3309107

Hao watu ndo wanafika 80%Hapo unajifikiria mwenyewe, hujui kuwa kuna watu wengi wanaofikiria stability ya mchi kwa biashara zao na maisha ya kawaida.
Maskini na upole ule....Anazidi chafuka mwisho watasema ndiye aliyemmaliza na aliyepita.Siasa bhana
Washauri kama ni wa kuchangua mwenyewe unapiga chini unatafuta wa kukufaa, pia anapaswa kuwa na wa kuchakata ushauri wa watoa ushauri na yeye mwenyewe awe smart asiwe na chunjio moja japo matatu na wasijuane.
Ukianza tu kutumia mabavu hata mtoto mdogo anajua Baba KashafeliSasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua ume elemewa.
Hoja inayohusu Mabadiliko ya Kanuni na tume huru labda mwanaccm aliyezikwa afufukeWewe kijana,
Nani wa kujibu hoja za Lissu?
CrapView attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri, Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.
Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu, wenye profile kama Lissu.
Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua ume elemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.
Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Huyu mama samia mnataka aonekana innocent wakati ujinga na uhuni wote unaofanyika yeye binafsi ameubariki kwa mikono miwili. Acheni mara moja kumpamba na kumpa utakatifu ambao hajawahi kuwa nao.View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri, Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.
Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu, wenye profile kama Lissu.
Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua ume elemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.
Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Walipa kodi wengi wamefunga biashara miaka hii miwili tofauti na mwaka wa mwisho wa mzee magufuliSiyo ujinga kama unavyofikiria.
Mnasahau haraka kuwa akiwepo Mwendazake, biashara zilifungwa kwa fujo na watu kukosa kazi sekta binafsi.
Watu waliondoa amana zao na benko zikaanza kusuasua.
Watanzania mna memory ndogo sana.
Hivi unajua maana ya ushauri? Unaelewa nini wanaposema za kuambiwa changanya na zakwako?View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri, Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.
Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu, wenye profile kama Lissu.
Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua ume elemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.
Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Alishaingizwa chakaView attachment 3309107