PreGE2025 Mama Samia shtuka sasa, suala la Lissu unaweza kuwa unaingizwa chaka!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu wa Komunisti ndio wako hivyo.
Trump na ubabe wake huko marekani,wananchi wa huko wanampa vipande vyao wapendavyo.
Ukitaka kurestrict opinion, hata za kijinga, wewe ndio unamatatizo.
uropokaji, uzushi na ukiukaji wa sheria kwa kiburi na kudaka tutaushughulika nao kwa mujibu wa sheria bila mbambamba yoyote gentleman.

hiyo hata Trump akaelezwe japo ana matatizo yake makubwa zaid πŸ’
 
Mzee mbona unampa huyo jamaa heshima asiyostahili?

Huyo hana kichwa juu ya mabega yake kuna boga.
 
relax bas gentleman,
mayowe, mdomo, makelele na kujipiga kifua vinatoka wapi sasa ikiwa ni hivyo?,

washukiwa wote wa uhalifu wapo wanasota korokoroni na kwa wakati muafaka watafikishwa mahakamani bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Mungu fundi, Mlango wa CCm kufa ni Ma yetu, Yanii hawamtaki wenzake to the extent wanasema Bora Chadema ipite!

Baada ya hili bunge, ndo tutajifunza kwa vitendo maana ya neno usaliti wa Kisiasa kwa ccm.

Watapambana ndani kwa ndani kweli kweli mpaka kieleweke, Mama laiti angalijua wate wake asingefika hapa!
 
Wajinga kazini. Aliyeapa kuongoza nchi ni makada?
 
Aya mambo sio mazuri hata kidogo hoja za Lissu ni za kujibiwa Jama Tume huru ndo jambo njema tupate Viongozi tunaowachgua wenyewe kuwaweka madarakani itasandia kuwajibiza viongozi mizigo kama wabunge na kuleta ufanisi kwenye serikali maana kupitia wabunge ndo tunapata mawaziri kila mtu mwenye akili timamu Tume huru mihimu
 
Siyo ujinga kama unavyofikiria.
Mnasahau haraka kuwa akiwepo Mwendazake, biashara zilifungwa kwa fujo na watu kukosa kazi sekta binafsi.
Watu waliondoa amana zao na benko zikaanza kusuasua.
Watanzania mna memory ndogo sana.
Ujinga kazini. Kna nini kimebadilika? Mbona mambo yamezidi kuwa mabaya? Kwa sababu wewe uko kwenye hali nzuri basi una assume kila mtu yuko vizuri? Ndugu wa Deus Soka watasemaje?
 
Ameshafeli huyu Kwanza anahangaika ndo mana anawaomba police wamsaidie kwenye uchaguzi.
 
wahalifu waropokaji, wachochezi na wakiuka sheria wawajibishwe kulingana na uhalifu wao kwa mujibu wa sheria bila kuomba huruma ya Rais,
Lazima sheria ziheshimiwe πŸ’
Mbona mropokaji Nepi Nnauye aliye sema ccm inashinda kwa kuiba kura hamkumfikisha mahakamani ili athibitishe kauli yake? Tuna Rais wa Hovyo haijawahi kutokea
 

Mkuu nakuhakikishia kabisa uchaguzi ukiwa huru na haki Rais samia hatoboi kwa tundu lisu .
Ikitokea ameshinda basi ni kwa sababu ya CCM , watu watakuwa wanaichagua CCM na sio Rais samia .

Rais wetu hana ushawishi kwa watanzania hilo lipo wazi.
 
Sisiemu haiwezi kushinda kwa 80% haiwezekani na haijawahi kutokea Ccm kushinda kwa kiwango Kama ulichotaja .
Hata mimi nimestuka, nimeishia kusoma hapo kwenye 80% na hizo 20%; nimejiridhisha huyu nae anawasema wenzie kuhusu mama kuingizwa mkenge na wakati yeye nae anafanya hivo hivo, tofauti ni aina za mikenge. Yeye kauzungumzia mkenge wa Lissu kwa mama lakini nae anamwingiza tena mkenge mama na chama chake. Kura zikipigwa kwa HAKI kabisa, ccm haina uwezo wa kupata walau 40% ya total votes, haina uwezo huo. Mikoa ya pwani tu, the rest sio rahisi hivo. Fanyeni utafiti
 
Mbona mropokaji Nepi Nnauye aliye sema ccm inashinda kwa kuiba kura hamkumfikisha mahakamani ili athibitishe kauli yake? Tuna Rais wa Hovyo haijawahi kutokea
relax gentleman,
mihemko binafsi si lolote mbele ya sheria πŸ’
 
wahalifu waropokaji, wachochezi na wakiuka sheria wawajibishwe kulingana na uhalifu wao kwa mujibu wa sheria bila kuomba huruma ya Rais,
Lazima sheria ziheshimiwe πŸ’

Punguani la siku zote limeibuga na ujinga wake.

Ignore his nosense.
 
relax gentleman,
mihemko binafsi si lolote mbele ya sheria πŸ’
Uonevu tu, Nape na DC wa Roliyondo walisema wazi kuwa ccm inashinda kwa kuiba kura. Kama sheria ni msumeno na wao wangefikishwa mahakamani kwa kuisema ccm ni wahaini wa kupinduwa chaguo la wananchi. Ccm mwaka huu mmeshikwa penyewe tutakaza mpaka mjambe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…