Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #41
Hayo ni mawazo yako.Mkuu nakuhakikishia kabisa uchaguzi ukiwa huru na haki Rais samia hatoboi kwa tundu lisu .
Ikitokea ameshinda basi ni kwa sababu ya CCM , watu watakuwa wanaichagua CCM na sio Rais samia .
Rais wetu hana ushawishi kwa watanzania hilo lipo wazi.
Tatizo lako unavyojifikiria , sivyo watu wengine wanavyofikiri.Sisiemu haiwezi kushinda kwa 80% haiwezekani na haijawahi kutokea Ccm kushinda kwa kiwango Kama ulichotaja .
Huyu mama anajua mipango yote,sema ndiyo wale wa kuuma na kupuliziaView attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.
Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu wenye profile kama Lissu.
Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua umelemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.
Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Mkuu mbona walishasema kuna ushirika na wale wawili wanaofukuzia u DED wa WHOMaskini na upole ule....Anazidi chafuka mwisho watasema ndiye aliyemmaliza na aliyepita.Siasa bhana
Wewe unaonaje?Wajinga kazini. Aliyeapa kuongoza nchi ni makada?
Wewe shika ulicho nacho, usijepokonywa!Ujinga kazini. Kna nini kimebadilika? Mbona mambo yamezidi kuwa mabaya? Kwa sababu wewe uko kwenye hali nzuri basi una assume kila mtu yuko vizuri? Ndugu wa Deus Soka watasemaje?
Ni kweli kabisa.Atumie fursa hii kutoa wahuni, ili Naye asionekane kama wale birds sijui flying together Wana rangi Sawa sawa
Hapa siyo suala la ''mimi kuonaje'' bali ni suala la katiba inasemaje. Sisi tunajua kwa 100% yeye ndiye anaongoza. Sasa wewe unataka kutuposha kwa kutudanganya kuwa makada ndiyo wanatoa amri... kuwa mama ni mjinga kiasi cha kutoona madhara ya kinachofanyika.Wewe unaonaje?
Sasa wewe unafikiri katiba imetumika kumuweka ndani Lissu?Hapa siyo suala la ''mimi kuonaje'' bali ni suala la katiba inasemaje. Sisi tunajua kwa 100% yeye ndiye anaongoza. Sasa wewe unataka kutuposha kwa kutudanganya kuwa makada ndiyo wanatoa amri.
Haijatumika kabisa. Na ndipo ilipo shida kubwa, tunajiuliza mbona anashindwa kufuata katiba? Wewe unatuambia kuwa ''kaingizwa chaka''. Mimi nikasema sisi kwa mujibu wa katiba tunamjua yeye na hatujui makada.Sasa wewe unafikiri katiba imetumika kumuweka ndani Lissu?
Mshauri wake mkuu Kikwete, yeye Kikwete anasemaje kuhusu Lissu kutupwa ndani kwa kesi ya uhaini, au kesi ya ugaidi ya Mbowe alisemaje Kikwete?View attachment 3309107
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%.
Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili.
Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini", ni wazi kuwa kwanza ni kichekesho, pili ni kama kuutaka kuzima upinzani kwa mguu wa tembo, ilihali CHADEMA yenyewe ni ubua kisiasa.
Lakini siasa ni hoja, na kwa wale wasiofikiri, Tundu Lissu amechoma mkuki sehemu ambayo makada wa CCM hawajui wapi waanzie kujibu.
Makada wamepanic, na wameitumia serikali kisiasa, na moja kwa moja wanamwingiza Mama Samia chaka la kisiasa.
Ukiona hata mzee Warioba anapepesa macho na CCM yake ujue kisiasa CCM haijakaa vizuri.
Mama tunamfahamu, si mtu wa mizengwe, ila ile anayopandikizwa na "washauri" wake.
Si hulka ya mama Samia kuwaweka ndani watu, wenye profile kama Lissu.
Sasa siasa ni mchezo wa maneno, ukitumia mabavu kila mtu anajua ume elemewa.
Wahauri wa mama ndio waliotufikisha hapa, lakini huo sio mwisho wa mchezo.
Kujitoa hapa tulipo natoa ushauri wa bure, mama Samia watose hadharani walio kushauri vibaya, wewe ndio unabeba lawama zote.
Mama Samia , kwa wanao kufahamu Afrika , na dunia nzima , wanashangaa imekuwaje , na nini kimetokea kwa yule mamam mstahimilivu.
Waliokushauri wabebe mzigo wao wa lawama, Lissu arudi kwenye ulingo wa kisiasa.
Naamini Lissu akijibiwa hoja zake, munkari wa kisiasa utapungua.
Come November 2025, hali ikiwa njema kisiasa, kiusalama, Inshallah, mama bado wapendwa na wengi.
Very good!Haijatumika kabisa. Na ndipo ilipo shida kubwa, tunajiuliza mbona anashindwa kufuata katiba? Wewe unatuambia kuwa ''kaingizwa chaka''. Mimi nikasema sisi kwa mujibu wa katiba tunamjua yeye na hatujui makada.
Hata kama ni Kikwete, anajitengenezea a bad precedence!Mshauri wake mkuu Kikwete, yeye Kikwete anasemaje kuhusu Lissu kutupwa ndani kwa kesi ya uhaini, au kesi ya ugaidi ya Mbowe alisemaje Kikwete?
Nimekubaliana na wewe kwa hoja zako lakini ninapokataa ni hapo unaposema ''kaingizwa chaka''. Ukiwa rais wa nchi ni lazima uwe na akili na washauri wazuri. Hao unaosema wamemuingiza chaka ni watu wake na kawaweka pale yeye. Maelezo yako yanaonyesha kuwa yeye ni dhaifu na hana uwezo wa kuongoza wala kuchagua wasaidizi kitu ambacho wengi tunakubaliana nacho na ndiyo maana tunataka akae mtu mwingine.Very good!
Na umeelezea scenario vizuri, na ndio maana ya mada yangu.
The buck stops with mama Samia, by design political inclination.
Ndio maana nasema yeye mwenyewe, tunavyomfahamu wana CCM, hili aliloingizwa ni chaka, asituke.
Katiba ni maneno tu ya kisheria katika uendeshaji wa shughuli za kiserikali na jamii.
Wakora wameitumia katiba jinsi wanavyojua kumuingiza mama chaka, lakini kila mtu, hata makada kama mzee Warioba wanaona kuwa huu ni mchezo mchafu kisiasa.
Mchezo ambao hauna tija kwa mustakabali wa Taifa.
Ndiyo maana makada wa mitandaoni tunamshauri mama Samia, kama akitaka mambo yaende vizuri November!Nimekubaliana na wewe kwa hoja zako lakini ninapokataa ni hapo unaposema ''kaingizwa chaka''. Ukiwa rais wa nchi ni lazima uwe na akili na washauri wazuri. Hao unaosema wamemuingiza chaka ni watu wake na kawaweka pale yeye. Maelezo yako yanaonyesha kuwa yeye ni dhaifu na hana uwezo wa kuongoza wala kuchagua wasaidizi kitu ambacho wengi tunakubaliana nacho na ndiyo maana tunataka akae mtu mwingine.
AiseeMkuu mbona walishasema kuna ushirika na wale wawili wanaofukuzia u DED wa WHO
Mama Machale yakucheze!View attachment 3309107