PreGE2025 Mama Samia shtuka sasa, suala la Lissu unaweza kuwa unaingizwa chaka!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata wewe Jidu La Mabambasi si ni mwana CCM...?

Kama una majibu ya maneno tu badala ya kutenda, basi jaribu kuzijibu hoja hizo uone kama zitakuwa ni majawabu....

Hoja za CHADEMA zinazochagizwa na kaulimbiu ya NO REFORMS NO ELECTION hazihitaji kujibiwa kwa maneno ya kwenye khanga kama mnavyofanya sasa huko CCM...

Hoja za CHADEMA ni hoja za wananchi, zimebeba ukweli unaowakodolea macho, hazihitaji longolongo wala mbambamba bali kutenda...

By the way hoja zote za reforms za kuwezesha uwepo wa free, fair and transparent electoral system kwa kufanya marekebisho au mabadiliko ya kikatiba na kisheria hazijaanzishwa na Tundu Lissu na CHADEMA...

Hoja hizi ziliibuliwa na nyie wenyewe CCM kupitia tume nne mlizoziunda ambazo ni;

1. Tume ya Jaji Francis Lucas Nyalali ya 1992

2. Tume ya Jaji Robert Kissanga ya 2003

3. Tume ya Jaji Mark Bomani ya 2010 na

4. Tume ya Jaji Joseph Sinde Warioba ya 2014

##Cha ajabu mlivyo na akili kama za mende au panzi, eti mnajifanya kujizima data na hamjui lolote na kuendekeza propaganda za miaka ya 1945...

##As things are now, there's no other way to do things differently rather than to act....

##Hakuna majibu ya maneno isipokuwa kutenda...

BROTHER Jidu La Mabambasi IT'S NOT TIME FOR TALKING, IT'S TIME TO ACT, AND THIS TIME IS NOW, NOT TOMORROW. CCM AND THEIR GOVERNMENT HAVE TO DO THE NEEDFUL NOT HARRASSING DISSENTING OPINIONS...!!!
 
Mtu ana elimu ya kuunga unga
Kila atachoambiwa yeye ni Yes tu
Kwanza wanamdharau sababu wanamuona hana uwezo wa kutawala
 
We umeshindwa kumshauri mke wako utaweza kumshauri Rais wa nchi? Bwege tu
 
Washauri kama ni wa kuchangua mwenyewe unapiga chini unatafuta wa kukufaa, pia anapaswa kuwa na wa kuchakata ushauri wa watoa ushauri na yeye mwenyewe awe smart asiwe na chunjio moja japo matatu na wasijuane.


Huenda ana imani na mkwewe.
Na si alisema anamtuma hapo amsaidie ?!
 
Crap

Mmeona hakuna traction sasa mnalazimisha attention

Tuieni na domo lenu
 
Huyu mama samia mnataka aonekana innocent wakati ujinga na uhuni wote unaofanyika yeye binafsi ameubariki kwa mikono miwili. Acheni mara moja kumpamba na kumpa utakatifu ambao hajawahi kuwa nao.
 
Chief Hangaya usikubali kuingia chaka wahuni watakufelisha so tumia akili wahuni wa kisiasa SI waziri
 
Siyo ujinga kama unavyofikiria.
Mnasahau haraka kuwa akiwepo Mwendazake, biashara zilifungwa kwa fujo na watu kukosa kazi sekta binafsi.
Watu waliondoa amana zao na benko zikaanza kusuasua.
Watanzania mna memory ndogo sana.
Walipa kodi wengi wamefunga biashara miaka hii miwili tofauti na mwaka wa mwisho wa mzee magufuli
 
Hivi unajua maana ya ushauri? Unaelewa nini wanaposema za kuambiwa changanya na zakwako?
 
Alishaingizwa chaka
 
Inawezekana kweli kuwa kasuku,anafuata tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…