PreGE2025 Mama Samia shtuka sasa, suala la Lissu unaweza kuwa unaingizwa chaka!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unaweza kutuwekea, Kwa ufupi , maazimio ya tume hizo
 
Hakuna lisilozungumzika.
Hii nchi ni yetu sote.
 
Hawezi kustuka.
 
Hakuna lisilozungumzika.
Hii nchi ni yetu sote.
➑Kama ni kuzungumza tumeshazungumza tena kwa kutumia tume mbalimbali zilizofanya tafiti za kitaalamu kabisa na zote zikasema

1. Tuandike katiba mpya ili ku - accommodate na ikidhi mahitaji ya mfumo wa kidemokrasia wa vyama vingi...

2. Kutoka ktk mfumo mpya wa kikatiba, tutapata mfumo mpya na huru wa kusimamia chaguzi zetu sawasawa na mahitaji ya mfumo wa vyama vingi....

➑Kwa sasa tunachotakiwa ni kuweka kwenye vitendo tuliyokwisha kuyazungumza...

➑Lakini hawa wenzetu chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM yake are completely doing the opposite. Wanajisukumiza na kujielekeza kwenye upotofu na kusiko na haki. Huku ni kutafuta na kuziita vurugu zenyewe...
 
Drama Kama kawa

Mmeona wananchi wako kimya sasa mnaandamanisha threads tu

Maana jamii Haina muda na drama

Hangaikeni
Drama au uovu wenu unamulikwa duniani kote, mnaendesha nchi kama gulio na kuacha kufuata taratibu na msingi wa katiba
 
 
Swala lakumkuza Lisu na CDM ni miradi ya watu ,watu wanamtengenezea mama hofu ambayo haipoo,Bado CCM inawapiga kura wengi sana mitaani kuliko CDM tatizo lilipo CDM hawataki hata hiyo 20% CDM wapate.hapo ndipo wanaharibu ila uchaguzi ukienda huru na haki na kamizengwe kidogo tu kama kasikuzote bado CCM inanafasi kubwa kwa Tanzania bara.Zanzibar ACT imejimaliza ,kwakulidhika navijisenti na bakshishi ya vyeo walivyopewa upande wa Zanzibar safari CCM ni mdebwedo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…