Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

Kwa bahati mbaya sana, huo ndio ukweli wenyewe; na aibu kubwa kwa vyuo vyetu.

Nimejaribu kufikiria kiongozi wa kumtplea mfano, aliye tofauti na hawa sikumpata!
 
Kuna ubaya gani mimi kuandika hivyo nilivyoandika?

Mbona ni msemo wa kawaida sana huo...

Au umekutoa jasho hadi umeenda ku Google?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
basi mwenyewe "unajifanya" bingwa wa kingereza.
 
Mama anaongea ile "RP" yaan Received Pronunciation kama ya kwa bibi pale Westminster city
 
Kuna ubaya gani mimi kuandika hivyo nilivyoandika?

Mbona ni msemo wa kawaida sana huo...

Au umekutoa jasho hadi umeenda ku Google?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasiojua lugha ya malkia utawajua kwa povu la kupinga kiingereza kumbe hata Kiswahili hajui. Pole ndugu.
Huwa n wakali sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We unahisi usuperpower ni uchumi tu wa makaratasi jidanganye. Mchina miaka buku hawezi kuwa super power hana ushawishi wowote hasa mambo ya kijamii kama culture. Nani anashobokea kichina? Nani anavaa nguo za kichina? Wao wenyewe bidhaa wanazotegemea ni kuchakachua za west.
 
Kwa mama samia,namfahamu tokea akiwa waziri kuke zanzibar,anafahamu vizuri sio kama yule jamaa wa font fed,huyu majaaliwa sijui maana ni mwalimu kadoma chuo kikuu cha udsm na ni kocha wa mpira
 
Huyu mimi nilimuona akiwa Afisa elimu kule Singida; sijui kama ngeli inapanda sijawahi kumshuhudia! Mataga hawathamini intenational relations, they belive in living in AUTARKY hence kutema YAI sio muhimu!
Hakuwa Afisa Elimu,bali katibu wa CWT Mkoa kabla hajala shavu ya ukuu wa wilaya
 
Nina uhaika mwenyezi Mungu ameamua kutupunguzia majonzi yetu

Ni kipindi sasa cha kujipanga upya kama taifa.

Kuhusu Samia wengi tuna wasiwasi na uwezo wake!! Wacha tuone
Wacha Mungu aitwe Mungu
 
Nyani Ngabu wewe endelea kubeba mabox uko stastes, usituchanganye sisi tuna mambo yetu uku Bongo.
Aisee nawewe bana, Mtu kuuliza swali la kawaida ni kutuchanganya.

BTW, hata mimi nilikuwa natamani sana kujua kama hawa wawili wanajua kiingereza vizuri au ni Mkuu tu ndio alikuwa akisemwa.

Je wanajua kuzungumza kiingereza? Ndio swali la msingi hapa.
 
Kuna kibarua kingine unataka kumpatia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…