Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

That situation nimeipitia,,ila mwanamke wangu afanye yote anayojua siyo kunitesea damu yangu aisee sitaona tabu kumfurusha,,maana wapo pia wenye roho ya huruma tutawezana.
Unaongea tu Mkuu 😊😊😊

Hujalishwa matakataka wewe bado na kurogwa kila kukicha. Omba mungu akupe mwanamke wenye akili na hofu ya mungu. Watu tupo/wapo kimya wana mengi sana ya kueleza ila sometimes huachana nayo tusijikumbushe kuumia na kuongeza misongo ya mawazo na wakati tumeshakua watu wazima. Wengine kunyanyaswa haikutosha mpaka wakawa wanarogwa na kurogwa na kuvunja mahusiano kabisa kati ya BABA na MTOTO. Acha kabisa! Usisikie 😊

Asikwambie mtu kumnyanyasa mtoto unamvuruga kisaikolojia akiwa mdogo sana! Usitegemee atafanya vizuri shuleni iwe mungu tu.

Tuepuke kunyanyasa watoto na kupiga vita hivi vitendo.
 
Mimi nimepitia kulelewa na bamkubwa.
Ilikuwa ngumu sana tena nikiwa shule bording muda wa kurudi likizo ukikaribia nakuwa sina raha kabisa.
Hasira yangu badala ya kuangalia changamoto zangu au ninavyofanyiwa nikahamishia kwenye masomo.
 
Back
Top Bottom