Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mkuu sikupingi. Kuna mama mmoja kwenye ukoo wetu ni mstaafu TRA na alikuwa kigogo, mdogo wake alifanya kazi NGO kubwa na alikuwa kigogo. Hawa walisumbua sana na hata wadogo zao wa kike wote wameachika ndoa zao sababu ya dada zao. Dada ana michepuko kila kona, kamsumbua mume mpaka wakaachana kwa amani, watoto analea kimagharibi, ana marioo kama wote. Wakawa wanashindana kuwaita wadogo zao walioolewa waje kuwatembelea. Wadogo wenyewe hawakusoma na waume zao hawana maisha kivile, mwishoni kabaki mmoja kwenye ndoa naye mumewe kawekwa kiganjani.
 
Waliojifunza psychology ndio wameanza kupatwa
 
Wanawake wanyanyasaji, tatizo inakuja, mkiwa matajiri kila mtu umakini anakopa ushauri. Unabaki na lako manyoni mpaka unasikia kutenda unyama.
 
ALlah has no ears to hear you



 
Amemalizwa
Ukitaka kuishi vizuri na hawa wadada , inabidi uwe nao wengi zaidi ya 20, wazuri wa shape nzuri. wengi wawe ni malaya wanajiuza, ukitoka kulala naye jamaa mwingine akichukuwa mzigo uone kawaida bila wivu, ukidumu nao miezi kadhaa kwenye mazingira hayo hutaweza kuwa na wivu wa kijinga utamwona mwanamke Kama chombo Cha starehe kwa kila mwanaume, mwanzoni utoana kinyaa jamaa anaenda kupiga na wewe uende kupiga shimo hilo hilo, lakini baadaye itakujengea immunity furani ya kutokuwa na mapenzi ya kweli na mwanamke yeyote hata mke wako utamwona ni wale wale tu, hivyo ukimwona mke wako au ukihisi anapigwa nje ni rahisi kumwacha bila kutoa uhai wake maana utaona ni wale wale hana tofauti na wanaojiuza. Na Sasa hivi wake za watu ndo wanaongoza kutoa uchi na wengine kujiuza. Na hawana neno hapana. Hivyo sasa hivi kuoa ni very big risk ya kupoteza maisha kwa ugonjwa, kuuwa, kuwa kilema kwa kupigana au kwenda jera kwa kuuwa mwenzi wako.
Ndo maana matajiri karibu wote duniani wakubwa top 10 hawana wanawake walishaachaana nao. Including Jeff Bezos no.1, Bill Gate, etc.
 
Mbn km unakimbizwa mkuu
 
waliandaa safari kwenda Moshi saa tisa. Lakini safari ikageuka shubiti, baba anaonekana alimpiga na kitu kizito ikawa ndio mwisho, baba akaenda baa akawaomba wahudumu wampatie mauzo ili apelekwe mgonjwa hospital, basi akafika getin na kutelekeza gari, akaingia ndani katoa gari jipya aina Toyota Harrier new model 2015 inaitwa matako ya nyani, gari ilikuwa full tank kwa ajiri ya safari na imepakia vitu, baada ya mauaji akaipiga mogul mpaka Moshi inawezekana alifika saa 11, akaitelekeza gari mpya na kutokomea. Yeye na mke wake ni majuzi walitoka kwenye msiba wa mama wa mauaji. R.i.P Mama Irene Mzava.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji31][emoji31][emoji29][emoji29]
 
Mjuba kaona sio swala bora amfyeke fyeke tu akaliwe na funza huko kwa adabu maana kashindwa kuliwa na binadamu kwa adabu!
Mimi huyu mama watoto nilijiapia kabisa nikisikia kachepuka ama nikimfumania naondoka ma sehemu zake za siri na habari inaishia hapo maana hiyo nyama ndio inawapa jeuri, basi naichana chana iwe na muonekano mbaya zaidi ila ndio hivyo kawa mwema kwangu hadi umri huu ni jambo la kumshukuru Mungu
 
Duh

Ova
 
Diamond Platinumz….mwanaume kuchapiwa ni siri ya ndani…
Imauma sana sana, ila ishi kiakili nawo, kuna list ya kina mama vigogo kuliwa hovyo nje, waume walitulia na wametulia, nawo wakafanya au wanafanya yao, nawauliza wanaume wenzangu, kweli unaamini mkeo achepuki?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…