Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada

Yani kama mtu anajijua kabisa hataweza kulea mtoto na kumhudumia bora asizae kabisa.

Ningekuwa na uwezo wa kudhibiti watu maskini wasizae kabisa ningefanya hivyo.

Mtu maskini hastahili kuzaa kabisa maana anaibebesha serikali mzigo mzito sana wa kulea ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.
 
 
Wanawake wakiambiwa wapange uzazi hawataki wanazaa hovyo. Je ingekuwa huyo mwanaume amefariki angefanyaje?. Kila siku tukisema wanawake fanyeni kazi ,pia uzazi wa mpango Ni Muhimu hamtaki kusikia mnakuja kusumbua Serikali
 
Una hasira na wanaume wanao zalisha hovyo je wanaozalishwa hovyo vipi? Mwanamke ndiye mwenye jukumu kubwa la uzazi wa mpango, mwanaume habebi mimba
 
Mkaguzi wa Polisi Michael Rasha, ameguswa na hali ya mama wa watoto nane, Belita Deus (37), ambaye alitorokwa na mumewe kutokana na ugumu wa maisha.
Kwahiyo baada ya kuguswa aliishia kupiga nao picha na kujipost
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maskini kazi yake ni kukamuana tu.

Ukiona kijana anawaza ngono mara kwa mara mkimbie huyo ana jini la umaskini.
Elimu inahitajika kwa Wanawake nao wajitambue sasa...watofautishe kuzagamuana kwa starehe na kubebeshwa mimba.

Mwenye funguo za chumba cha mimba ni mwanamke.
Dunia ya sasa ina nyenzo zote za kuamua uzazi wa mhusika.
 
Serikali yenyewe inayobeba huo mzigo iko wapi?

Sio kwamba mtu maskini asizae hapana. Sema mtu maskini ambaye hataki kulea watoto wake tumdhibiti.

Watu wengi ni maskini lakini wanapambania familia zao hivyo hivyo.
 
Elimu inahitajika kwa Wanawake nao wajitambue sasa...watofautishe kuzagamuana na kubebeshwa mimba.

Mwenye funguo za chumba cha mimba ni mwanamke.
Dunia ya saaa ina nyenzo zote za kuamua uzazi wa mhusika.
Watu wa vijijini wanaamini Uzazi wa Mpango ni kumzuia asizagamue/ asizagamuliwe.

Hivyo wanapinga sana kwa nguvu zote huku wakijificha kwenye kauli ya Mwenyezi Mungu ya Zaeni Mkaijaze Nchi lakini pointi yao kubwa ni Mizagamuo tu.
 
Kwa hiyo kama tunahitaji vibarua kwa ajili ya miradi, ndio uzae halafu ukimbie kulea?

Unazaa utegemee nani awalee hao wanao?
Wote hao wamezaliwa wakati wa Magufuli aliposema nyie zaeni tu serikali itawasomesha, kwahiyo wakaitikia wito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…