Alichokisema mama Wema ni sawasawa na mama yangu, at first sikumwelewa mama ila kumbe ndivyo wanavyoona!
Sasa naamini alikuwa sahihi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wema aache kumchezea huyu mtoto
Ksbb wema hana damu,hana moyoHapo ilibidi mama yake whozu ndio akasirike.
Mikorogo hiyo, alaumiwe sana Maimartha kwa kuharibu ngozi ya yule mdadaAhhahaahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wema hataki kukuaa ila kaharibika sura hivi sijui kawaje
Itakuwa Mtoto...Mama ameshazeeka, amesahau alizaa lini mtoto wakeMambo ni mengi..kwa hiyo nani ako sahihi[emoji23]
Siyo kwamba Whozu kahamia kwa Wema, sema Whozu kaolewa na Wema. Hiyo wazungu wanaita matrilinealKwa hiyo Whozu kahamia nyumbani kwa Wema 🤦♀️
Ila mama Wema kwa historia ndefu ya Wema kuhusu mahusiano yake hatakiwi kuongelea uhuni...hadi sasa alitakiwa kuelewa na kukubali kwamba amezaa mwanadada muhuni
Mtoto kapost cheti amezaliwa 1990, mama anasema anakumbuka alimzaa mtoto 1988.... patamu hapoooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Obviously ni mama, hawezi kusahau lastborn wake kamzaa liniMambo ni mengi..kwa hiyo nani ako sahihi[emoji23]
Ahahaha..kweli uzee mbaya sio kwa kuukimbia namna hiiItakuwa Mtoto...Mama ameshazeeka, amesahau alizaa lini mtoto wake
Last born wa taifa..lolObviously ni mama, hawezi kusahau lastborn wake kamzaa lini
Mtoto kapost cheti amezaliwa 1990, mama anasema anakumbuka alimzaa mtoto 1988.... patamu hapoooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cheti ni makaratasi tu. Kizazi cha sasa ndo Wana umri sahihi maan akizaliwa tu anaingizwa kwenye mfumo na Rita. Lakini sisi wa analogi unakuta mtu ana vyeti kibao. Utamkuta ana Cha kazi tena 2 au zaidi, cha kuzugia wanawake/wanaume ili wamuone mdogo, nkMtoto kapost cheti amezaliwa 1990, mama anasema anakumbuka alimzaa mtoto 1988.... patamu hapoooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alizaliwa mara mbili au?Sioni shida hapo wote wako sahihi, (+/-)3 haina effect kwenye Age difference.
Hakika maana hata alivyokipost walimwengu walihoji mbona kipya sanaaaa [emoji23] Mama akaja kumaliza utata halafu yuleeee akasepaCheti no makaratasi tu. Kizazi cha sasa ndo Wana umri sahihi maan akizaliwa tu anaingizwa kwenye mfumo na Rita inasona. Lakini sisi wa analogi unakuta mtu ana vyeti kibao. Utamkuta ana Cha kazi tena 2 au zaidi, cha kuzugia wanawake/wanaume ili wamuone mdogo, nk
Ndivyo alivyosema😁Miaka 33 Wema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaaa Wema mhuni tuHakika maana hata alivyokipost walimwengu walihoji mbona kipya sanaaaa [emoji23] Mama akaja kumaliza utata halafu yuleeee akasepa
Kumbe 😂😂😂Kaongea vizuri ila kila mara hupenda kumnanga mwanae public halaf dada zake wema wapo wapi
Shida ya Watz mnahangaika sana, Wewe hapo tangu aunze chekechea mpaka kazini au ndoani hujawahi danganya chochote ili kukamirisha jambo fulani muhimu kwako.Alizaliwa mara mbili au?
Kitendo cha kuja jukwaa na celebrities na kuanza kusoma maoni na kucomment tayari una mahangaiko ya nafsi na akili, hebu tuachieni jukwaa letu tutambe nalo makasiriko yenu pelekeni siasani hukoooooo,Shida ya Watz mnahangaika sana, Wewe hapo tangu aunze chekechea mpaka kazini au ndoani hujawahi danganya chochote ili kukamirisha jambo fulani muhimu kwako.
Mimi naona Mama Wema ni Kilaza kupita binti yake hapaswi kumprove wrong katika public akimsema nyumbani inatosha.
Huna Maana.Kitendo cha kuja jukwaa na celebrities na kuanza kusoma maoni na kucomment tayari una mahangaiko ya nafsi na akili, hebu tuachieni jukwaa letu tutambe nalo makasiriko yenu pelekeni siasani hukoooooo,
Nidanganye umri hadi kuchonga cheti feki ili inisaidie nini labda kama sio wazimu