Mama akatawale kwenye gari la baba (mumewe).Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Akili mtu wangu!Huo ndio muda wa kusoma text za mchepuko wako π₯
Mwenye gari ni mumeo chukulia ndio ushaolewa na mimi kwa mfano hapo utataka ukae siti gani?
Kwa desturi ya wazungu, ukikaa siti ya nyuma wewe ni don! Ila kwetu Wabongo kukaa mbele ndio udon!Kwani seat ya mbele ina heshima Gani
Yaani watu wagombanie kukaa seat ya mbele
Mke unaye,?ukipata gari akae mbeleMada nyingine ngumu sana kuchangia.
Mama sina,gari sina!
Hii nzuri sana πKwakua umesha muita mke, basi jitahidi umpe heshma yake kwasababu hata mama yako alikua paswa kuipata heshma hiyo kwa baba yako.
Ukiamua kuoa, ebu usilazimishe kufananisha nafasi na mke wako na mama yako...π€¨
Mama anastahili upendo kutoka kwa mtoto wake, lakini mama yako hapaswi kuiziba nafasi ya mke wako (kama umeamua kuoa).
Kama tukiwa peke yetu sawa ila mke akiwepo anakaa Siti inayofuata na mjukuu wapige storyNaonaga mama wengi wanapenda kukaa na watoto wao.π
Ni kweli mkuu.Kwanza seat ya nyumba ndio executive seat kuliko hizo za mbele ambazo watu wengi hukimbilia, ushawahi kuona Rais kakaa seat ya mbele?. Hata hivyo binti (mke) alielelewa vizuri kwao hawezi kukaa kulalamika kwamba nani akae seat ya mbele, mama aachwe achague kokote atakapoona akikaa atakua confortable then mke afuate hiyo ndio heshima ya binti wa kitanzania sababu hata akae mbele au nyuma ukweli ni kwamba haiwezi kuondoa title yake kwamba yeye ni mke na yule atabaki kuwa mama!
Nashangaa. Waswahili tuna tabu sanaKwani seat ya mbele ina heshima Gani
Yaani watu wagombanie kukaa seat ya mbele
Nathani ni ujinga tuu kung'ang'ania siti ya mbele Kuna sku nliona board guard wa Rais anakaa mbele na Rais anakaa nyuma ,alaf ukiwa na mzazi mshamba ivyo ni hatar pia Kwa nn apiganie kukaa mbele wakat Msaidiz wako yupo??Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Na kioo unashusha.Si unajua tena ili majirani watuone π π