Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Mama akatawale kwenye gari la baba (mumewe).Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Mke atawale kwenye gari lao (na mumewe.)
Anayejiona yuko na mumwe ndio akae siti ya mbele.