Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.

Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.

Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.

Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Mama akatawale kwenye gari la baba (mumewe).
Mke atawale kwenye gari lao (na mumewe.)
Anayejiona yuko na mumwe ndio akae siti ya mbele.
 

Attachments

  • Screenshot_20250121_055738_Chrome.jpg
    Screenshot_20250121_055738_Chrome.jpg
    86.3 KB · Views: 1
Kwakua umesha muita mke, basi jitahidi umpe heshma yake kwasababu hata mama yako alikua paswa kuipata heshma hiyo kwa baba yako.
Ukiamua kuoa, ebu usilazimishe kufananisha nafasi na mke wako na mama yako...🤨
Mama anastahili upendo kutoka kwa mtoto wake, lakini mama yako hapaswi kuiziba nafasi ya mke wako (kama umeamua kuoa).
Hii nzuri sana 😛
 
Kwanza seat ya nyumba ndio executive seat kuliko hizo za mbele ambazo watu wengi hukimbilia, ushawahi kuona Rais kakaa seat ya mbele?. Hata hivyo binti (mke) alielelewa vizuri kwao hawezi kukaa kulalamika kwamba nani akae seat ya mbele, mama aachwe achague kokote atakapoona akikaa atakua confortable then mke afuate hiyo ndio heshima ya binti wa kitanzania sababu hata akae mbele au nyuma ukweli ni kwamba haiwezi kuondoa title yake kwamba yeye ni mke na yule atabaki kuwa mama!
Ni kweli mkuu.

Siti ya nyuma ndio Executive.

Ila acha tubishanie siti ya mbele.
 
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.

Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.

Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.

Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Nathani ni ujinga tuu kung'ang'ania siti ya mbele Kuna sku nliona board guard wa Rais anakaa mbele na Rais anakaa nyuma ,alaf ukiwa na mzazi mshamba ivyo ni hatar pia Kwa nn apiganie kukaa mbele wakat Msaidiz wako yupo??
 
Back
Top Bottom