Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mkuu kumpenda ilikuwa ni lazima, kama tumeagizwa kuwapenda jirani zetu sembuse Mama Mzazi?nlikua sijuhi kama kutokupenda ni kosa
sio mama tu kuna muda najiona sijaumbwa kupenda japo yeye nilimchukia na chuki still ninayo mpaka sasa
Biblia inasema Mpende Jirani yako kama unavyojipenda.
Kwahiyo hata kama ilimchukia kama Mama yako Mzazi bado ulitakiwa Kumpenda kama Jirani. Na kama ungempenda kama Jirani manake utakuwa unampenda kama unavyojipenda wewe mwenyewe