Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tutafika mkuuYaani mkuu mi naww tunaendana kabisaaa japo mm huwa sina chuki msingi ni kusamehe tu maisha yaende.
mkuu umebahatika kusoma badiko lote kabla ya kukomenti?Ukitaka uone Dunia chungu penda kuwawekea vinyongo na chuki watu waliotangulia mbele za haki kiufupi msamehe tu na wew ipi siku utalamba tu mchanga why ushindwe kusame
Habarini za asubuhi wana MMU poleni na majukumu ya kujenga taifa na familia kiujumla.
Kijana wenu nimekuja hapa mbele yenu sijui nahitajI ushauri ama nahitaj nini ila ntafurahi kama ntarejesha amani ya moyo na akili yangu.
Ni hivi mama yangu mzazi alikufa huku akitambua kua mimi mwanae simpendi na kweli sijawahi kumpenda. Kinachoniuma nilishindwa kulificha hili nilimuonesha moja kwa moja so hadi anakata roho alijua fika simpendi.
Kuna muda nikikaa huwa naona nilikosea sana kumuonesha chuki yangu na hili kosa huwa nalijutia sana. Kila siku nawaza namna ya kujisawazisha ila nakosa majibu.
Naombeni ushauri au maelekezo yoyote yanaweza rejesha amani ya moyo wangu.
Natanguliza shukrani.
Usihukumu kabla hujahukumiwa na yeye binadamu huenda Kuna namna alifeli kutambua ubaya wa matendoyakeSiona kama kuna kosa ambalo ulishindwa kumsamehe mama yako, labda baba ambae unaweza singiziwa ila sio mama, awe amekuwangia ,awe amekukosea chochote we hukupaswa kumchukia hata kidogo, maana we ni uchafu wake pengine angekutoa kupitia pedi tu, ila anyway kashakufa, we fanya maisha yako mengine ikiwezekana tafuta mama mwingine mpende uyo,
Ila nakutabira utakuja kufa vibaya na kifo kitasababishwa na mwanamke karma is real
Nakuelewa sana my dear shida inakuja hapo kwenye Chuki, mzazi na yeye binaadam anakosea, mtoto unayo haki ya kukasirika pia kwa kua na wewe ni binaadam ila tatizo linakuja kwenye CHUKI unamchukia Mama yako hadi anakufa! Pengine aliumwa huendi kumuangalia kisa una Chuki nae!!My dear, hujaona. Hujaonaa nakuambia. Yaani usihukumu. Wamama wa kizazi hiki wamekua wa hovyo sana. Na hiki kizazi tunachokiacha sijui kitakua katika hali gani? Umelifikiria hili? Kuna wamama ni tatizo sana aisee. Very toxic. Wengine wanavunja mpaka ndoa za watoto zao. Utasema ana upendo huyo?
Kama kweli humpendi no haja ya kujutia relax amini ulikua sahihi hivyo tu.Habarini za asubuhi wana MMU poleni na majukumu ya kujenga taifa na familia kiujumla.
Kijana wenu nimekuja hapa mbele yenu sijui nahitajI ushauri ama nahitaj nini ila ntafurahi kama ntarejesha amani ya moyo na akili yangu.
Ni hivi mama yangu mzazi alikufa huku akitambua kua mimi mwanae simpendi na kweli sijawahi kumpenda. Kinachoniuma nilishindwa kulificha hili nilimuonesha moja kwa moja so hadi anakata roho alijua fika simpendi.
Kuna muda nikikaa huwa naona nilikosea sana kumuonesha chuki yangu na hili kosa huwa nalijutia sana. Kila siku nawaza namna ya kujisawazisha ila nakosa majibu.
Naombeni ushauri au maelekezo yoyote yanaweza rejesha amani ya moyo wangu.
Natanguliza shukrani.
umeongea vizuri sanaUsihukumu kabla hujahukumiwa na yeye binadamu huenda Kuna namna alifeli kutambua ubaya wa matendoyake
Kabisa mamy, hebu abadili hili jina aisee. Naamini hana gundu wala.mkosi. atubu tuu na maisha mapya yaanzeNakuelewa sana my dear shida inakuja hapo kwenye Chuki, mzazi na yeye binaadam anakosea, mtoto unayo haki ya kukasirika pia kwa kua na wewe ni binaadam ila tatizo linakuja kwenye CHUKI unamchukia Mama yako hadi anakufa! Pengine aliumwa huendi kumuangalia kisa una Chuki nae!!
Kuna tofauti ya Chuki na Hasira mimi sio mzazi tu hata mtu baki siwezi Mchukia, ona sasa anavyoteseka hadi kujiita Maji ya Gundu, anakiri kila anachokishika kina mikosi na amejua sababu ni nini hapo anapaswa ajisamehe kwanza yeye mwenyewe.
Hapana dear, wala huna mikosi. Ni kwasababu tu unajuyia. Kama ni majuto tayari umeshajutia. Haujakosea saanaaa. Hata mimi si mkamilifu. Piga moyo konde. Yaan ni tona tu itakuponya na ukihadithia kilichokuumizampaka kufikia kujiita hivi ubongo umeshakiri kwamba niko hivo yaani mikosi hainiishi
AmenFanya hivyo utakuja kushuhudia hapa, Mungu atafungua milango ya baraka hadi utashangaa mwenyewe.
Nakuelewa sana my dear shida inakuja hapo kwenye Chuki, mzazi na yeye binaadam anakosea, mtoto unayo haki ya kukasirika pia kwa kua na wewe ni binaadam ila tatizo linakuja kwenye CHUKI unamchukia Mama yako hadi anakufa! Pengine aliumwa huendi kumuangalia kisa una Chuki nae!!
Kuna tofauti ya Chuki na Hasira mimi sio mzazi tu hata mtu baki siwezi Mchukia, ona sasa anavyoteseka hadi kujiita Maji ya Gundu, anakiri kila anachokishika kina mikosi na amejua sababu ni nini hapo anapaswa ajisamehe kwanza yeye mwenyewe.
Nenda makaburini alipolala kaongee naye kwa unyenyekevu kaombe radhi na kutaka suluhu naye ATAKUSIKIAHabarini za asubuhi wana MMU poleni na majukumu ya kujenga taifa na familia kiujumla.
Kijana wenu nimekuja hapa mbele yenu sijui nahitajI ushauri ama nahitaj nini ila ntafurahi kama ntarejesha amani ya moyo na akili yangu.
Ni hivi mama yangu mzazi alikufa huku akitambua kua mimi mwanae simpendi na kweli sijawahi kumpenda. Kinachoniuma nilishindwa kulificha hili nilimuonesha moja kwa moja so hadi anakata roho alijua fika simpendi.
Kuna muda nikikaa huwa naona nilikosea sana kumuonesha chuki yangu na hili kosa huwa nalijutia sana. Kila siku nawaza namna ya kujisawazisha ila nakosa majibu.
Naombeni ushauri au maelekezo yoyote yanaweza rejesha amani ya moyo wangu.
Natanguliza shukrani.
aminaJisamehe mwenyew kwanza then usirudie Hilo Kosa wamama maranyingi hawajuagi kama hatuwapendi Bali wanatuchukuliaga kama watoto watukutu na wasumbufu tu ndo maana tunafanya makosa mengi na still Bado wanatubeba na kutuhesabu kama watoto wao
Omba Mungu akusamehe na muombee mama Yako Mungu amrehemu
shukrani sisterHapana dear, wala huna mikosi. Ni kwasababu tu unajuyia. Kama ni majuto tayari umeshajutia. Haujakosea saanaaa. Hata mimi si mkamilifu. Piga moyo konde. Yaan ni tona tu itakuponya na ukihadithia kilichokuumiza