Mama yangu alifariki huku akijua simpendi

nlikua sijuhi kama kutokupenda ni kosa
sio mama tu kuna muda najiona sijaumbwa kupenda japo yeye nilimchukia na chuki still ninayo mpaka sasa
Mkuu kumpenda ilikuwa ni lazima, kama tumeagizwa kuwapenda jirani zetu sembuse Mama Mzazi?

Biblia inasema Mpende Jirani yako kama unavyojipenda.

Kwahiyo hata kama ilimchukia kama Mama yako Mzazi bado ulitakiwa Kumpenda kama Jirani. Na kama ungempenda kama Jirani manake utakuwa unampenda kama unavyojipenda wewe mwenyewe
 
shukrani mkuu
 
Kwa nini ulimchukia mama yako?
Tianzie hapo
 
Mkuu, pia hii user ID badili. Mimi nakupenda. Nakupenda. Kuwa nanimanj nakupenda. Ukibadili hili jina hata mentality itabadilika. Niamini wapo watu wanaokupenda sana na madhaifu yako. Unapendwa. Hata mama naaminj alikupenda ila tu ni madhaifu ya kidunia. Ni ubinadamu tu. Hajakamilika. Lazima kuna changamoto ulikua ukipitia anaumia hata kama hasemi. Pole sana mkuu...
 
Kwa nini ulimchukia mama yako?
Tianzie hapo
 
Ameshakufa sasa unataka tukushauri nini?

Uamuzj ni wako uliamua mwenyewe huku tu shirikisha
 
mpaka kufikia kujiita hivi ubongo umeshakiri kwamba niko hivo yaani mikosi hainiishi
 
Hakuna sababu yeyote inayo weza kukufanya ukamchukia mama yako labda kama uligundua anataka kukutoa uhai.
what if ikawa ni zaidi ya kunitoa uhai?

usijione mkamilifu mkuu usijikute unaakili sana kuzidi engine maisha haya ni mapito
 
Mama ako kukubeba tumboni miezi tisa ni upendo wa ajabu kwako.hakuna wa kufananisha nao.
Alipitia mengi mazito kwa ajili yako.
Hata akosee nini kikubwa kiasi gani.hukupaswa kumchukia hata siku moja.
Unaambiwa mzazi hakosei.
 
Mama ako kukubeba tumboni miezi tisa ni upendo wa ajabu kwako.hakuna wa kufananisha nao.
Alipitia mengi mazito kwa ajili yako.
Hata akosee nini kikubwa kiasi gani.hukupaswa kumchukia hata siku moja.
Unaambiwa mzazi hakosei.
sawa mkuu
 
umekomenti kama mkamilifu mkuu hongera sana
Acha kusingizia ukamilifu
Kuna vitu vingine havihitaji hata maelezo vinahitaji umakini mkubwa hasa wazazi .

Kwanini hukuja kuomba msaada mwanzo ukaamua mwenyewe?
Sasa utaambiwa nini tuku comfort na mzazi ameshakwenda?
 
nlikua sijuhi kama kutokupenda ni kosa
sio mama tu kuna muda najiona sijaumbwa kupenda japo yeye nilimchukia na chuki still ninayo mpaka sasa
Sasa umetuletea uzi wa kupata ushauri gani kama hadi mtu aliyefariki ungali unamchukia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…