Mama yangu ananilazimisha niingie uchawini, wakuu nifanyeje

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi

Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao

Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan

Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa nguvu nisirudi tena
Wana jf naombeni ushauri nifanye nn kijana mwezenu
 
kama unaamini uchawi upo, basi hamtofautiani na mama yako! mfuate, you are in the same category
 
Maamuzi ya mwisho ni mind yako inasemaj sisi na wakulugwa hatun baya
 
Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi

Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao

Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan

Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa nguvu nisirudi tena
Wana jf naombeni ushauri nifanye nn kijana mwezenu

Unaishi mkoa gani?
 
Kubali kuwa mchawi .

Elimu adimu hiyo ,wewe unapewa bure unakataa?

Kwani ukiwa mchawi utapungukiwa na nini?
 
Back
Top Bottom