Mama yangu ananilazimisha niingie uchawini, wakuu nifanyeje

Endapo umeingia uwe unakuja kutupa umbea mlilogaje huku jamiiforums tutaenda na wewe hatua kwa hatua
 
Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi

Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao

Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan

Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa nguvu nisirudi tena
Wana jf naombeni ushauri nifanye nn kijana mwezenu
Kwani sumu ya panya bei gani fanya kumpoteza kabla hajakupoteza Kutoka 22:18 Usimuache mwanamke mchawi kuishi" over
 
Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi

Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao

Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan

Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa nguvu nisirudi tena
Wana jf naombeni ushauri nifanye nn kijana mwezenu

Expert member unakuja kuandika stories za KUBUMBA ZA KIPUMBAVU KAMA HIZI? UNALETA AIBU TU KWA JAMII YAKO.
 
mwambie atumie huo uchawi wake ili uwe meneja wa BOT then akifanikiwa msapoti akishindwa sepa ata vikindu uanzishe maisha so lazima we uish nae
 
Back
Top Bottom