ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,962
huyu ndio wewe 😎
huyu ndio wewe 😎
Utapata na mwalimu hapo 😅😅Anataka aongezeke jf?🤣🤣🤣
🤣🤣Am a newborn...Jana niliuliza tu nijue mengiUtapata na mwalimu hapo 😅😅
😅😅😅 Newborn eeeh.. Hongera mpendwa🤣🤣Am a newborn...Jana niliuliza tu nijue mengi
Huko uchawi ni ndo kijijini gani?Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi
Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao
Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan
Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa nguvu nisirudi tena
Wana jf naombeni ushauri nifanye nn kijana mwezenu
Kama huamini uchawi upo basi wewe jua sio mkristo, myahudi, muislam, Hindu, Buddha, taoism na vlevle sio atheist na wala ujastaraabika full stopkama unaamini uchawi upo, basi hamtofautiani na mama yako! mfuate, you are in the same category
Amina Amina,ila sex nafanya mkuu😅😅😅 Newborn eeeh.. Hongera mpendwa
Kwa heshima mjibu tu huitaji hayo mambo, na akilazimishanitaleta mpasuko mkubwa baina yakeMm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi
Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao
Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan
Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa nguvu nisirudi tena
Wana jf naombeni ushauri nifanye nn kijana mwezenu
Pole mkuu. Sex sio nzuri kama sio mchumba wako au mume wako.. sex ni spiritual exchangeAmina Amina,ila sex nafanya mkuu
Mwambie mama Yako anirogee ccm kwanza kabla hajastaaafuMm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi
Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao
Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan
Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa nguvu nisirudi tena
Wana jf naombeni ushauri nifanye nn kijana mwezenu
Hakuna kitu chochote unatafuta attention ya watu tuMm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi
Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao
Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan
Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa nguvu nisirudi tena
Wana jf naombeni ushauri nifanye nn kijana mwezenu
unapelekwa Giningi, au siku hizi venue imebadilika?Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi
Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao
Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan
Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa nguvu nisirudi tena
Wana jf naombeni ushauri nifanye nn kijana mwezenu
Nisamehe shadow,nipo humo.Pole mkuu. Sex sio nzuri kama sio mchumba wako au mume wako.. sex ni spiritual exchange
upo wapi To yeye 🫩Nisamehe shadow,nipo humo.
Haiwezekani mama anayekupenda akawa mchawi wewe ukapona.Kinachokufanya uchukie uchawi king'ang'anie na kuombewa kwani uchawi ni ufalme wa shetani.Mwombee na mamaako ili Stoke kwenye gizaMm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi