Mama yangu ananilazimisha niingie uchawini, wakuu nifanyeje

Ukiwa mchawi hauna shida ya nauli ili ufike mahali fulani.

Ni suala tu la manuizi , unanuia kufika sehemu, kufumba na kufumbua umefika.

Ukiwa mchawi hauonewi onewi hovyo , mtu akikuonea mchawi usiku unamkanda haswa.
 
Kubali uchawi dogo, fursa hiyo.

Uki advance hapo utamiliki mpaka majini.

Wengine wanayanunua hayo kwa mamilioni ya shilingi.
 

C.c To yeye
 
Uongo huu
Wachawi hurithisha watoto uchawi kabla hata hawajafika miaka mitano...
Hawasubiri uwe mtu mzima
 
 
Sasa si uende jamani shida ipo wapi wakina ridhiwani wamerithi uongozi wewe ndio urithi huo huko kwenu mkataa kwao mtumwa..

Nenda kapambane na kina mwamposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…