Mama yangu ananilazimisha niingie uchawini, wakuu nifanyeje

Huko uchawi ni ndo kijijini gani?
 
kama unaamini uchawi upo, basi hamtofautiani na mama yako! mfuate, you are in the same category
Kama huamini uchawi upo basi wewe jua sio mkristo, myahudi, muislam, Hindu, Buddha, taoism na vlevle sio atheist na wala ujastaraabika full stop

Sasa jiweke kwenye kundi likufaalo huko kote haupo
 
Tafuta mganga ambae sio tapeli akugange, mama atakuogopa. Ubaya atakaofanya utamrudia yeye. Usidanganywe na maombi, huo ni utamaduni wa Kiyahudi. Tumia utamaduni wako wa Kiafrika.
 
Naomba connection na mama yako kama hautajali nataka nijifinze kuhusu jambo fulani.
 
QMMK 🀣🀣🀣🀣
 
Kwa heshima mjibu tu huitaji hayo mambo, na akilazimishanitaleta mpasuko mkubwa baina yake
 
Mwambie mama Yako anirogee ccm kwanza kabla hajastaaafu
 
Hakuna kitu chochote unatafuta attention ya watu tu
 
unapelekwa Giningi, au siku hizi venue imebadilika?
 
Haiwezekani mama anayekupenda akawa mchawi wewe ukapona.Kinachokufanya uchukie uchawi king'ang'anie na kuombewa kwani uchawi ni ufalme wa shetani.Mwombee na mamaako ili Stoke kwenye giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…