Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Huu uzi nilkuwa nauona mara nying naupotezea ila leo nilipouona tena na una comments za kutosha ikabid niupitie

Aisee umenikumbusha mqmbo mengi ya kiskul mengine nimeyafanya na mengine wameyafanya wana,umenifanya hadi niwakumbuke jamaa zang

Ilitakiwa demu umle mara moja na kesho yake asubuh ungemsafirisha kwa jamaa yake,ungeokoa hata laki na nusu

Niliwah mtengenezea lecture mikeka na ikafa yote niltaman nihame chuo na alikuwa kanipa pesa ndefu tu
😂😂😂😂 Oi misala kama hii kama mtu hajaipitia hawezi kuelewa kama kuna mda majengo ya shule yanabadilikaga yanakuwa na muonekano kama wa motoni hivi.

Alafu kila ukiisogelea shule mavi kama yanabani hivi
 
Afu watoto wa kike hawanaga huo UJINGA wa kula ada

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uliza vizuri mkuu mimi ni shuhuda wa kula ada tena ya Form 6 na chuo mwaka wa 3 nilikula 650k ya semista nzima[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] siwez sahau ila kikubwa home hawajawahi kujua kabisaa mpaka namaliza na mpaka kesho hawatakuja kujua[emoji16][emoji16]
 
Chuo Semester ya mwisho nilikula Ada yote 700K na home hawajui chochote ile nimemaliza tu chuo nikapata job Dispensary moja kitaa piga mzigo sana nikiwa naimani nitalipa wapi nikaona isiwe kesi nikamshirikisha Sister, Sister akampanga Mama, Mama nae sijui akampangaje Mume wake (Baba) kuna siku nimelala tu geto asubuhi nilikuwa siingiaa kazini Mshua akaniita akaniambia jiandae twende mjini nafika mjini Pale CRDB Kenyatta Road Mwanza Jengo la NSSF mzee akatoa 700K na kunikabidhi nikalipe Ada hadi leo hajawahi niuliza Ada ulipeleka wapi!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] ishu za kula ada aisee ni very sensitivuu sana yan nililipa ada kibabe sanaa tena baada ya kupata hiyo hela sikutaka hata kuinusa nililipa
ada moja kwa mojaa yani[emoji119][emoji119][emoji119] mana nilipanga boom la mwisho nikipokea ndo nilipe kheeee si tunapunguziwaga booom ile 2020 semista ya pili[emoji23][emoji119][emoji174] kidog nife
 
CHAPTER 10

kumbuka aunty alikuwa na matatizo ya pressure na mashetani kuna siku mmoja akapandisha ikabidi tumpeleke kwa sheikh mmoja hivi ambae ni jirani yetu mitaa ya kigogo hapo.

yule sheikh alikuwa na tatizo mmoja anasoma soma madua yake weeeeeh alafu anatulia hivi kama anazima nadhani yale madudu yake yalikuwa yanamtuliza hivi.

sasa baada ya aunty kutulia lakini kalala hapo tumemfunika na kanga na sheikh kukaa sawa uncle si akaanzisha mada kuwa kuna sehemu yeye anaijua na kuna mada kazisikia kuna shimo linatoa madini.

ila hiyo sehemu ipo Mkoa X ndani ndani huko, sheikh akaingilia mada akasema yeye hiyo ndoto kashawahi kuiota kuwa kaongozana na watu wawili waenda kufata madini sehemu lakini yeye hajui ni sehemu gani wala sura za ao watu usingizini hakuzijua ni za kina nani ila alikuwa anaongea nao ila sura zao hakuzijua ni za kina nani.

INAENDELEAAAA....

Mada hiyo ikafa tukamchukua aunty tukarudi nae nyumbani. lakini yoyote ya yote ile mada pale kuwa kuna sehemu kuna madini kila mtu ilimchanganya akili hivi.

kwa maelezo ya mjomba kuwa huyo mtu wa kwanza kupata ayo madini alikuwa anachimba shimo la choo. dakika ya mwisho akakutana na kitu kama kigae hivi.

so aliingia hofu ila akampa mtu ambae anaenda mjini akaulizie ni nini kile kitu kwa masonara baada ya kufika mjini sasa yule jamaa aliyetumwa akaanimbiwa kweli yale ni madini.

kwahiyo akarudi kijijini tena akamshitua jamaa wakabeba na kigae kingine wakaenda kuuza mjini now jamaa ni tajiri mkubwa tu Dar es salaam.

na habari ikatapakaa kuwa sehemu fulani kuna mali habari nzuri utembea haraka serikali ikapata taarifa kwahiyo watu wakapigwa marufuku hata kusogea lile eneo lakini ndio kijijini ndani ndani uko.

hiyo story mwanzo kabisa mimi mwenyewe sikuiamini amini hivi niliona kama mjomba anatufunga kamba ila baada ya kujikuta nina shida ya pesa ya ada ya kwenda chuo na fursa nilipewa pesa ikaisha kwa jimama.

nikaona acha na mimi nijitoe sadaka tu. so siku kama ya jumamosi mimi mjomba na yule ostadh tukatoka zetu dar es salaam mpaka mkoa X tulifika kule kama mida ya saa 11 jioni hivi.

ila mjomba alitoa wazo kuwa tukae pale stand kwanza kila mtu amalize aja yake kabisa mwenye kutaka kula akale mwenye kujisaidia na pia kila mtu anunue maji yake hajisaidie hapo kila mtu mgongon ana jembe lila bila mpini sururu, panga na torch.

maana safari ya kwenda uko kwenye hilo shimo hakuna magari usafiri pekee ambae unaweza kumfikisha mtu uko ni bodaboda ila kwa vile tunaends kufanya inshu za magendo itabidi twende kwa miguu tu hakuna kuchukua bodaboda.

tukaa pale stand saa 1 tukaanza kuupiga mguu sasa kuelekea uko kijijini. uko tulipokuwa tunaenda ni mbali sana yani tulikuwa tunapiga story njiani mpaka ikafikia hatua sasa kila mtu akabaki kimya. ila safari ilichukua kama mda wa masaa manne hivi mpaka tunafika kule kijijini.

tukafika ikabidi kwanza tupumzke kama dakika kadhaa alafu tutafute miti kwa ajili ya kutengeneza mipini ya jembe.

ili iwe inatusaidia wakati tunachimba lile shimo uwenda na sisi tukabahatika kupata japo kipande cha kigae cha dini tuje mjini kula kiki kwa mrija.

tukapata miti ya mipini fresh kumbuka tupo kijijini lakini porini sana na hiyo ilikuwa kama mida ya saa 5 usiku hivi.

kijijini kimetulia na nyumba moja ipo hapo nyingine ipo mbali sana kama kilometres mbili hivi hadi tatu.

ostadh akatoa wazo kuwa kabla hatujaingia mule shimoni kuanza kazi lisomwe dua maana mara nyingi mambo ya mali mali majini nao hawachezi mbali anaweza akaingia mtu shimoni likamvaa jinu ikawa mtihani sasa na kule ni porini hakuna msaada wa mtu.

vuta picha kutoka hapo mpaka stand kwa miguu ni masaa manne sasa unadhani itakuwaje au nani ataweza kumbeba mtu masaa yote yao sindo munajuikuta mpaka asubuhi mupo njiani tu wana kijiji wanakuja kuwakamata kirahisi.

ostadh akapiga visomo vyake soma soma somaaaa weeeeh. dakika ya mwisho tukamuona kazima katulia tuli tukajua mambo teyali sasa sisi wawili mimi na mjomba tuzame shimoni moja aende chini mwengine akae juu kucheck usalama.

daaah hatari katika lile eneo tulikutana na mauza uza ya ushirikina na uchawi hatari. pale wakati tunachimba kuna mda tunasikia kama sauti za watu hivi wanakuja kwahiyo fast sana tunatoka tunaenda kujificha alafu ukichungulia hakuna watu wala nini.

mukienda tena kinatokea kituko kingine mara musikie kama mwanamke analia hivi yani sauti fulani hivi kama mwanamke kapigwa alafu analia.

yani tulichimba kidogo tu tukaona hapa pazito tuondokue haraka sana.

Tuliondoka lakini mipango yetu tukae siku kadhaa turudi tena kule kijiji kujaribu bahati yetu kwa round ya pili.

Daaah hii round ya pili ndo ilikuwa ngumu zaidi kuliko ile ya kwanza.

Gusa hapa kupata muendelezo 👇👇👇👇
Post in thread 'Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike' Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] ishu za kula ada aisee ni very sensitivuu sana yan nililipa ada kibabe sanaa tena baada ya kupata hiyo hela sikutaka hata kuinusa nililipa
ada moja kwa mojaa yani[emoji119][emoji119][emoji119] mana nilipanga boom la mwisho nikipokea ndo nilipe kheeee si tunapunguziwaga booom ile 2020 semista ya pili[emoji23][emoji119][emoji174] kidog nife
😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uliza vizuri mkuu mimi ni shuhuda wa kula ada tena ya Form 6 na chuo mwaka wa 3 nilikula 650k ya semista nzima[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] siwez sahau ila kikubwa home hawajawahi kujua kabisaa mpaka namaliza na mpaka kesho hawatakuja kujua[emoji16][emoji16]
Kumbe mlikuwepo

Maana mara nyingi ulikuwa ukitoka mkeka wa madeni,vidume ndo vilkuwa vinaongoza kwenye hiyo list
 
Back
Top Bottom