Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
YALEYALE, kuna wanaofanya uhuni sanaKuna mmoja hapa mtaani Ni mshika dini haswa lakini mara kwa mara anapelekwa polisi kwasababu ya dhulma
Nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, jiko, vyoo na mabafu mawili ndani nje moja, stoo na bustani huo muda wa kuangalia tv kazini uko wapi! Wametoka kwao kwenda kufanya kazi siyo kuangalia tv, kulala au kula, unamlipa mtu kwa hivyo nilivyovitaja! Haiwezekani, mimi tu kupokea simu kila wakati siruhusiwi na hata ingekuwa ofisi yangu nisingefanya hivyo.Wapi nimesema nimepanga chumba kimoja?!punguza ujuaji
Kuna mchungaji huku alituma picha ya mkuyenge kwenye group la kanisa
Wanaopika chakula ni wafanyakazi na wapikapo mwenye nyumba hayupo, wakienda kinunua mchele au nyama wanakata robo kilo kisha uwalishe! Anayelishwa ni yule anayekaa kwa mwajiri wake huyo akanunue chakula chake ale na mke au mume wake.Nilivyomuelewa huyo mtoa mada ni kuwa hao watu ni wachoyo,kama wapo tayar chakula kimwagwe kuliko hao wafanyakazi Kula huo ni uchoyo kabisa.
Ingekuwa ni maswala ya bajeti basi kusingekuwa na chakula cha kumwaga kwakuwa,mtu ambaye yupo makin na bajeti huwa Makini Sana na hawezi mwaga chakula.
Naamini Dini zote mbili kuu Kwa maana Uislamu na ukristo zinahimiza upendo na kuhurumiana,sasa sijui hawa ni wachamungu wa Aina gani,mungu awaongoze kwakweli lkn wapo kinyume kabisa na mafundisho ya dini
Mimi nadhan wanakaa hapo,lkn hata kama hawakai hapo lkn si wanashinda siku nzima,je hawali?Wanaopika chakula ni wafanyakazi na wapikapo mwenye nyumba hayupo, wakienda kinunua mchele au nyama wanakata robo kilo kisha uwalishe! Anayelishwa ni yule anayekaa kwa mwajiri wake huyo akanunue chakula chake ale na mke au mume wake.
Mtoa mada hajafafanua mada yake ili anaowakusudia waelewe na kutoa hoja sahihi.
Hakuna mfanyakazi anayeishi kwa mwajiri wake na kumpikia chakula ananyimwa chakula, unaposema anashinda hapo wewe kazini kwako unapewa chakula? Wamachinga wengi tu hushinda na njaa huku biashara ni zao.Mimi nadhan wanakaa hapo,lkn hata kama hawakai hapo lkn si wanashinda siku nzima,je hawali?
Mkuu huenda hujui hizi habar za madad wa kazi aisee,HV unajua ktk nyumba nyingine wanadada hawali mpaka Kwanza waanze wenye nyumba na wakibakisha ndio wanakula wao?Hakuna mfanyakazi anayeishi kwa mwajiri wake na kumpikia chakula ananyimwa chakula, unaposema anashinda hapo wewe kazini kwako unapewa chakula? Wamachinga wengi tu hushinda na njaa huku biashara ni zao.
Tena ni makombo aisee, mimi nmeshuhudia mahali nkaumia sana . Hawa wadada wakazi ukiwaskiliza kwa umakini utagundua kuwa hakutarajia kuwa hivyo. Huwa ni maisha yanaenda mrama tu .Mkuu huenda hujui hizi habar za madad wa kazi aisee,HV unajua ktk nyumba nyingine wanadada hawali mpaka Kwanza waanze wenye nyumba na wakibakisha ndio wanakula wao?
Maisha ya hawa watu kwa walio wengi si rafiki kama unavyofikiria kabisa,sikulaumu kwakuwa hujashuhudia hayo
Unatoka nchi Gani?ni wakrsto tu hao watakuwa bila shaka
WAISLAM huwezi kukuta muislam mchamungu akawa mnyimi wa kula
katika kilichobora katika UISLAM ni kutoa katika miongoni mwa unavyovipenda
na moja ya mambo alotuhusia mtume ni kumpenda sana JIRANI yako
na katika thawabu bora ni kuwasaidia wasiojiweza CHAKURA
Yaan katika uislam kupika chakura lingi kisha ukashindwa kukimaliza ni dhambi kubwa
katika uislam ni SUNNAH kuokota chakura ulichodondosha bahati mbaya na kukila
sasa katika hayo machache ni Ngumu mchamungu wa uislam kufungia friji chakula kisa wafanyakaz wasule
Hata mimi nimemuelewa vyema mtoa mada.Nimefanikiwa kuondoa code. Nilimuelewa sana Mwalimu wangu wa Kiswahili Kiingereza kwenye somo la fasihi/literature.
Niambie na mimi EvaHata mimi nimemuelewa vyema mtoa mada.
Nimefanikiwa kuondoa code. Nilimuelewa sana Mwalimu wangu wa Kiswahili Kiingereza kwenye somo la fasihi/literature.
Nalifahamu hili jambo kabla hata sijakuunga mkono.Hamnaga watu wanafiki kama hawa washika dini!