Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nilivyomuelewa huyo mtoa mada ni kuwa hao watu ni wachoyo,kama wapo tayar chakula kimwagwe kuliko hao wafanyakazi Kula huo ni uchoyo kabisa.
Ingekuwa ni maswala ya bajeti basi kusingekuwa na chakula cha kumwaga kwakuwa,mtu ambaye yupo makin na bajeti huwa Makini Sana na hawezi mwaga chakula.
Naamini Dini zote mbili kuu Kwa maana Uislamu na ukristo zinahimiza upendo na kuhurumiana,sasa sijui hawa ni wachamungu wa Aina gani,mungu awaongoze kwakweli lkn wapo kinyume kabisa na mafundisho ya dini