Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Nilivyomuelewa huyo mtoa mada ni kuwa hao watu ni wachoyo,kama wapo tayar chakula kimwagwe kuliko hao wafanyakazi Kula huo ni uchoyo kabisa.

Ingekuwa ni maswala ya bajeti basi kusingekuwa na chakula cha kumwaga kwakuwa,mtu ambaye yupo makin na bajeti huwa Makini Sana na hawezi mwaga chakula.

Naamini Dini zote mbili kuu Kwa maana Uislamu na ukristo zinahimiza upendo na kuhurumiana,sasa sijui hawa ni wachamungu wa Aina gani,mungu awaongoze kwakweli lkn wapo kinyume kabisa na mafundisho ya dini
 
Wapi nimesema nimepanga chumba kimoja?!punguza ujuaji
Nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, jiko, vyoo na mabafu mawili ndani nje moja, stoo na bustani huo muda wa kuangalia tv kazini uko wapi! Wametoka kwao kwenda kufanya kazi siyo kuangalia tv, kulala au kula, unamlipa mtu kwa hivyo nilivyovitaja! Haiwezekani, mimi tu kupokea simu kila wakati siruhusiwi na hata ingekuwa ofisi yangu nisingefanya hivyo.
 
Nilivyomuelewa huyo mtoa mada ni kuwa hao watu ni wachoyo,kama wapo tayar chakula kimwagwe kuliko hao wafanyakazi Kula huo ni uchoyo kabisa.

Ingekuwa ni maswala ya bajeti basi kusingekuwa na chakula cha kumwaga kwakuwa,mtu ambaye yupo makin na bajeti huwa Makini Sana na hawezi mwaga chakula.

Naamini Dini zote mbili kuu Kwa maana Uislamu na ukristo zinahimiza upendo na kuhurumiana,sasa sijui hawa ni wachamungu wa Aina gani,mungu awaongoze kwakweli lkn wapo kinyume kabisa na mafundisho ya dini
Wanaopika chakula ni wafanyakazi na wapikapo mwenye nyumba hayupo, wakienda kinunua mchele au nyama wanakata robo kilo kisha uwalishe! Anayelishwa ni yule anayekaa kwa mwajiri wake huyo akanunue chakula chake ale na mke au mume wake.
Mtoa mada hajafafanua mada yake ili anaowakusudia waelewe na kutoa hoja sahihi.
 
Mimi nadhan wanakaa hapo,lkn hata kama hawakai hapo lkn si wanashinda siku nzima,je hawali?
 
Mimi nadhan wanakaa hapo,lkn hata kama hawakai hapo lkn si wanashinda siku nzima,je hawali?
Hakuna mfanyakazi anayeishi kwa mwajiri wake na kumpikia chakula ananyimwa chakula, unaposema anashinda hapo wewe kazini kwako unapewa chakula? Wamachinga wengi tu hushinda na njaa huku biashara ni zao.
 
Mkuu huenda hujui hizi habar za madad wa kazi aisee,HV unajua ktk nyumba nyingine wanadada hawali mpaka Kwanza waanze wenye nyumba na wakibakisha ndio wanakula wao?

Maisha ya hawa watu kwa walio wengi si rafiki kama unavyofikiria kabisa,sikulaumu kwakuwa hujashuhudia hayo
 
Tena ni makombo aisee, mimi nmeshuhudia mahali nkaumia sana . Hawa wadada wakazi ukiwaskiliza kwa umakini utagundua kuwa hakutarajia kuwa hivyo. Huwa ni maisha yanaenda mrama tu .
 
Hiyo ni Moja ya shida kubwa sana katika Jamii yetu
kama sio baba basi ni mama
au kaka ama hata dada, n.k

chakula kwa wale wanaoijua dini
ni kitu cha kipekee mno
Kinafungua mibaraka mingi kwa mtoaji.

Ibrahimu ili ampate Isack alitoa chakula kwa Malaika na baada ya kushiba Ahsante yao ikawa ahadi ya mtoto.

Genesis 27
Isack mwenyewe alitoa mibaraka kwa Yakobo
aliyejifanya kuwa ndiye Esau
kwa sababu ya chakula.

watu wengi ni wavivu kusoma
Ila Kuna wimbo mmoja wa Bahati Bukuku unamhusu Esther
ambaye aliandaa kalamu kwa Mfalme
na unajua Mfalme baada ya chakula alimwambiaje Esther?

Zakayo mtoza ushuru alimkaribisha Yesu nyumbani kwake then wakapata chakula
Je Zakayo nini kilimpata?

1 Wafalme 13
15: Akamwambia, Karibu kwangu nyumbani, ule CHAKULA.

2 Wafalme 4
Kisa cha Nabii Elisha na yule mwanamke.

Mifano ya chakula ni mingi mno,
Kuhusu chakula chakula chakula chakula.
Mama yako
asione anafanya kazi Unesco
hizo kazi huwa zinaisha na anarudi hadi zero.

Kitu watu hawajajua ni kuwa jinsi unavyowalisha watu wa nyumba yako ndivyo Bwana Anavyozidi kukuletea mibaraka na kamwe hauwezi lala njaa.

Chakula kitu gani Jamani?
Chakula unachokula
then dakika 10 ni nyingi
umeenda chooni kukitoa chote?

Chakula ambacho utakiacha siku 1 tu unakuta kimeoza na kutoa funza?

Moja ya dhambi kubwa itakayowaangusha wengi ni hii ya uchoyo wa chakula.

Yesu anasema ndipo watakapo muuliza kuhusu chakula

Mathayo 25
isome hasa mistari ya 35 na 42.

Tubadilike Jamani uchoyo wa chakula ni moja ya dhambi mbaya sana.
Japo
tabia haina dawa wala tabia sio nguo kuwa utabadilisha ndani ya sekunde 1.

Kuna tabia watu wanazirithi kutoka kwa wazazi wao, zingine ni mbaya ikiwemo hizi za uchoyo wa chakula,
ni vizuri sasa wazazi mkawa kioo ili hata watoto wenu waje kuyaishi maisha yenu.
 
ni wakrsto tu hao watakuwa bila shaka

WAISLAM huwezi kukuta muislam mchamungu akawa mnyimi wa kula
katika kilichobora katika UISLAM ni kutoa katika miongoni mwa unavyovipenda
na moja ya mambo alotuhusia mtume ni kumpenda sana JIRANI yako
na katika thawabu bora ni kuwasaidia wasiojiweza CHAKURA
Yaan katika uislam kupika chakura lingi kisha ukashindwa kukimaliza ni dhambi kubwa
katika uislam ni SUNNAH kuokota chakura ulichodondosha bahati mbaya na kukila

sasa katika hayo machache ni Ngumu mchamungu wa uislam kufungia friji chakula kisa wafanyakaz wasule
Unatoka nchi Gani?
Uliambiwa Uislam ni Bora kuliko Ukristo?
Stop those katankaras things.
SHAME ON YOU
 
Nami nimeelewa vizuri kabisa baada ya kusoma post yako. Natumaini mleta mada anasubiria nyongeza friji ikifunguliwa kwa muda
Nimefanikiwa kuondoa code. Nilimuelewa sana Mwalimu wangu wa Kiswahili Kiingereza kwenye somo la fasihi/literature.
 
Kuna mama mmoja Mchungaji, Ana kanisa lake niliwah kufanya kazi kwake asee yule mama alikuwa Mchoyo wa chakula kupitiliza. Alikuwa na wafanyakazi walinzi walikuwa hawaruhusiwi kutoka getini na Chakula alikuwa hawapi kabisa. Tena wakati mwingine anawatuma walinzi kabisa wakamfanyie kazi hata za ndani ila kwenye msosi walikuwa hawagusi kabisa. Hadi wakawa wanatia huruma siku Moja jamaa alipewa chakula alaamua kuwapa walinzi Kwa Siri asee yule jamaa aliwakiwa moto na kufukuzwa kazi.
 
Back
Top Bottom