Mambo 10 niliyoyaona kwenye Mechi ya Yanga Vs MC Alger

Yanga ilianza mashindano haya ikiwa kwenye form mbaya na ikiwa imebadili mwalimu bila sababu za msingi. Mechi ya Al Hilal nyumbani nyumbani ilipaswa tushinde. Ila kingine huyu kocha mpya wa Yanga kuna shida ya msingi hajaweza kuifanyia kazi.
 
Kocha hajui mechi innataka nini,Leo ilitakiwa wachezaji wenye kujituma mwanzo mwisho, muda,zingeli,abuya dube,chama hawakustahil kabisa
 
Timu ikishaamua kupack basi,huwez kuifunga kwa kros kirahisi.
Pale kocha pia kachelewa kuielewa hii game na ni kama hawajui vizur wachezaji wake
Yule mzize akili ndogo nguvu nying,ndio maana akibakiwaga hata na defender mmoja miguu inatetemeka hata sehemu isiyo ya kupiga atataka kupiga na hivyo mpira kuishia kwa adui.
Kwa game ya leo mzize angeanza ila dube angetoka tu maana amekua na mfululizo wa makosa mengi,then unamweka mzize na chama pale juu,yaan mmoja anafos sana na mwingi akili nying.
Maana aliingia na unaona anapiga pasi zinafika,kafinya na kupiga ila ikapita cm chache sana kutoka golin.Alitakiwa aanze pale tena mbele sio vile amepewa majukumu ya huku chini kabisa.Pale angemilik mpira hata mara mbili Yanga wangepata penati....
Enewei kesho mje mjifunze
 
Kocha hajui mechi innataka nini,Leo ilitakiwa wachezaji wenye kujituma mwanzo mwisho, muda,zingeli,abuya dube,chama hawakustahil kabisa
Max Nzengeli ni majeruhi. Na Abuya hakucheza. Shida ya timu ilikuwa ni kushindwa kulazimisha kuipita timu ambayo wachezaji wake wote waliamua kubaki nyuma tangu kilipoanza kipindi cha pili ili tu kuhakikisha Yanga haipati goli.

Kwa hiyo kocha na wachezaji wake, walitakiwa kuumaliza mchezo kipindi cha kwanza. Utulivu ulikosekana, na pia kikosi kilichoanza nacho kilishindwa kumaliza mchezo ndani ya dakika 45 za kwanza.
 
Eti kocha ndiyo mara yake ya kwanza kushiriki mashindano ya Klabu Bingwa Afrika! Bila shaka viongozi nao walicheza kamari ya hatari sana. Kwa hiyo hatuna budi kumpa muda.
Coach ni mzuri ila Ile timu ni ngumu mno plus pressure ya mchezo
Mambo sio rahisi hivo, tuwe wanamichezo makocha wakubwa wanapoteza sembese Ramovic
Football huwezi kushinda mapema

Kuhusu mbinu ya kuanza na msonda
Coach akitaka apanue uwanja, maana aliamini MC Alger wataziba katikati, bahati mbaya Musonda hakuwa Bora hata Kwa 10%
 
Labda mechi imemkataa,hata Mzize leo game ilimkataa
 
Kwahiyo yanga mmegoma kufyeka kichaka ili turaruliwe na wanyama wakali au mnataka kichaka kijae nyani iwe zoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…