permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Yanga ilianza mashindano haya ikiwa kwenye form mbaya na ikiwa imebadili mwalimu bila sababu za msingi. Mechi ya Al Hilal nyumbani nyumbani ilipaswa tushinde. Ila kingine huyu kocha mpya wa Yanga kuna shida ya msingi hajaweza kuifanyia kazi.Ukweli Usemwe.
Kuvuka makundi kwenye Championship sio kila timu inaweza.., timu zinajipanga na hazichezi kwa mihemko... waangalie hao MC Alger walicheza kimkakati sana. Hawakutaka kufunguka sana kz walijua mpira wa Yanga, ukifunguka sana wanakuadhibu... Aina hii ya uchezaji wa Alger ndio waliokuwa wanautumia Simba., huwaoni saaana kuwa hatari lakini wanavuka.