Mambo 10 niliyoyaona kwenye Mechi ya Yanga Vs MC Alger

Tayari yanga wamefuzu naona wanakimbia uwanja mzima huku wamembeba side,duh kumbe naota ndoto nyingine bwana
 
11. Kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
 
Un

Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
Kwahiyo mzee Mwaka ule ulikua unacheza cha ndimu
 
Un

Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
Hiyo ligi ya mabingwa umewahi kuwaona Simba wanaishia makundi?
 
Un

Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
SIMBA haijawahi kushiriki hayo mashindano?????
 
Un

Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
Essay ndefu, simba huko CAFCL hatujawahi kuishia makundi kama nyinyi
 
Hiyo namba 10 ndio pointi haswa!
 
Un

Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
chomoa huo mwiko kwanza, viteam vya bodaboda vinaishiaga makundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…