Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Mwenye picha ya calculator iliyokuwa inapiga hesabu za YANGA tunaomba tuione
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jigi diara anaweka goli la pili kwa mkwaju mkaliMimi naona pia wanavyokimbiza kuongeza la pili.
Nipo mpk sasa.. yani huku kumejaaa pomoni..Huyo anadai yupo Dodoma kumsimika wasira
😂😅🤣Nipo mpk sasa.. yani huku kumejaaa pomoni..
Ni misafara tuu
11. Kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣Kwa Tathimini Yangu haya ndio mambo 10
1.Algers walikuja na mpango wa kuzuia kipindi cha kwanza.
Walipaki basi na Yanga wakashindwa kupress backline ya Algers.
2.Yanga hawakucheza kama team,
Kila mchezaji alitaka kuwa man of the match kitu ambacho kiliwaghalimu Yanga,Makosa ya Mzize kupiga mipira Hovyo yameikosesha Yanga nafasi muhimu.Nafikiri mzize aliagiza mzigo mpya dukani kwake.
3.Mashabiki wa Yanga hawakuitendea Haki mechi.
Mashabiki walipaswa kuujaza uwanja wa mpaka badala yake walioingia pia hawakua wkishangilia.
4.Musonda sio mchezaji wa mechi kubwa,
Musonda amefeli mapema sana leo ,sijui kwanini Kocha alimuacha akamaliza kipindi cha kwanza,Game ilimtaka Pacome zaidi.
5.Boka ni Beki wa kawaida sanaa,Lomalisa amekumbukwa leo.
Kross zake zote ziligonga mogongo ya mabeki na kutoka nje,wazili wa maji Lomalisa alikua bora zaidi
6.MC Alger na mbinu ya kupoteza muda.
Mwarabu huyu ni mwarabu upupu,amejiangusha sana,Amepoteza Muda ,zilipaswa kuongezwa zaidi ya dk 7
7.Kocha wa Yanga kutofanya Sabu.
Aucho alichoka mapema,
Duke abuya mechi ilimpasa kuingia kipindi cha pili. Kibabage alipaswa kuingia kumwaga maji zaidi ya boka.Dube mechi ilimkataa mapema chama angeiweza hii mechi.
8.Ally Kamwe ulefeli kwenye Hamasa.
Kitendo cha kushindwa kuujaza uwanja ni udhaifu wa Kamwe Ally.
Ilifika muda mpaka Manara akawa anamsaidia kupiga promo kwenye media ila hakufananya hivyo zaidi ya kujisifia yeye.Mashabiki wamezoea kwenda bureee.
9.Yanga inahitaji namba 9 aina ya Baleke,
Mipira mingi ilianguka ndani ya box la MC alger hakuwepo mmaliziaji,Nimemmkumbuka Baleke,Angewasaidia sana game ya leo.
10.Karibuni Kesho mjifunze kumfunga mwarabu nyumbani.
Hayo mashindano ndio yaliwasaidia kupata point, huku kwingine mlikuwa mnatolewa mapema.Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama
Kwahiyo ile fainal yenu mlikua mishangazi sio,Au Mama wakubwa😂😂Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama
Kwahiyo mzee Mwaka ule ulikua unacheza cha ndimuUn
Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
UMISETA ndio nini?Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya UMISETA
Hiyo ligi ya mabingwa umewahi kuwaona Simba wanaishia makundi?Un
Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
CAFCL ndio uishie makundi?Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama
SIMBA haijawahi kushiriki hayo mashindano?????Un
Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
Essay ndefu, simba huko CAFCL hatujawahi kuishia makundi kama nyinyiUn
Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
Hiyo namba 10 ndio pointi haswa!Kwa Tathimini Yangu haya ndio mambo 10
1.Algers walikuja na mpango wa kuzuia kipindi cha kwanza.
Walipaki basi na Yanga wakashindwa kupress backline ya Algers.
2.Yanga hawakucheza kama team,
Kila mchezaji alitaka kuwa man of the match kitu ambacho kiliwaghalimu Yanga,Makosa ya Mzize kupiga mipira Hovyo yameikosesha Yanga nafasi muhimu.Nafikiri mzize aliagiza mzigo mpya dukani kwake.
3.Mashabiki wa Yanga hawakuitendea Haki mechi.
Mashabiki walipaswa kuujaza uwanja wa mpaka badala yake walioingia pia hawakua wkishangilia.
4.Musonda sio mchezaji wa mechi kubwa,
Musonda amefeli mapema sana leo ,sijui kwanini Kocha alimuacha akamaliza kipindi cha kwanza,Game ilimtaka Pacome zaidi.
5.Boka ni Beki wa kawaida sanaa,Lomalisa amekumbukwa leo.
Kross zake zote ziligonga mogongo ya mabeki na kutoka nje,wazili wa maji Lomalisa alikua bora zaidi
6.MC Alger na mbinu ya kupoteza muda.
Mwarabu huyu ni mwarabu upupu,amejiangusha sana,Amepoteza Muda ,zilipaswa kuongezwa zaidi ya dk 7
7.Kocha wa Yanga kutofanya Sabu.
Aucho alichoka mapema,
Duke abuya mechi ilimpasa kuingia kipindi cha pili. Kibabage alipaswa kuingia kumwaga maji zaidi ya boka.Dube mechi ilimkataa mapema chama angeiweza hii mechi.
8.Ally Kamwe ulefeli kwenye Hamasa.
Kitendo cha kushindwa kuujaza uwanja ni udhaifu wa Kamwe Ally.
Ilifika muda mpaka Manara akawa anamsaidia kupiga promo kwenye media ila hakufananya hivyo zaidi ya kujisifia yeye.Mashabiki wamezoea kwenda bureee.
9.Yanga inahitaji namba 9 aina ya Baleke,
Mipira mingi ilianguka ndani ya box la MC alger hakuwepo mmaliziaji,Nimemmkumbuka Baleke,Angewasaidia sana game ya leo.
10.Karibuni Kesho mjifunze kumfunga mwarabu nyumbani.
chomoa huo mwiko kwanza, viteam vya bodaboda vinaishiaga makundiUn
Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!
Mnaishiaga wapi,,ata ayo mashindano ya chandimu mwisho wenu uwa ni robo wenzenu tumecheza fainali mtatuambia nini sasa?Hiyo ligi ya mabingwa umewahi kuwaona Simba wanaishia makundi?