DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Bado tatizo kuu halija tatuliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alumni wenzangu tuliosoma Cuba tumekuelewa.Tatizo sio hayo uliyayaainisha kama mafanikio!
TATIZO ni end product ya Elimu yenyewe!!
YAANI mhitimu anatembea na Bahasha akitafuta ajira na ajira HAMNA na elimu haikumuandaa kujiajiri!
Tatizo Ndio hilo Hata kama ajenge madarasa kama utitiri kama Elimu HAINA tija HAINA TU!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Huwezi kulinganisha Marekani na Tanzania mkuu. Hakuna anayejiweka uchi, ujuaji unakusumbua mkuu.Acha kuendelea kujiweka uchi, jibu swali.
"Je nchi ikiwa kubwa itawahi au itachelewa kupata maendeleo?"
Na Vipi kuhusu, china, A/kusini, Algeria, Marekani, Misri, nk?
Tozo zilipwe hizi mbwembwe za katiba mpya na mazungumzo baada ya habari.Mkuu kama eneo ni KUBWA hata rasilimali ni nyingi pia!!!
Kinachohitajika ni Brain KUBWA tu wala sio mbwembwe!!
Madini yote hayo,milima yote Hiyo,Mbuga zote hizo na n,k
Halafu utoe sababu zote hizo duni!!?
Nyerere angesikia huyu kijana alieweka mikono kichwani mwake enzi hizo akiwa mdogo leo analopoka vitu kama hivi angetamani siku ile akuzabe vibao!!
Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya!
Ktk orodha niliyoitaja hapo umeiona Marekani tu! Ama kweli wewe una shidaHuwezi kulinganisha Marekani na Tanzania mkuu. Hakuna anayejiweka uchi, ujuaji unakusumbua mkuu.
Cha muhimu Samia anaupiga mwingi haya mengine ni maongezi ya ziada.Ktk orodha niliyoitaja hapo umeiona Marekani tu! Ama kweli wewe una shida
Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi sana ametuletea maendeleo we are so proud of herCha muhimu Samia anaupiga mwingi haya mengine ni maongezi ya ziada.
Kwangu mimi kuupiga au kutoupiga mwingi haikuwa hoja yangu, bali hoja yangu ilikuwa ni uwezo wenu vijana wa kuchakata mambo kama wasomi kwamba,Cha muhimu Samia anaupiga mwingi haya mengine ni maongezi ya ziada.
Samia anaupiga mwingi lakini nyie mnaosema kila kitu samia na sifa sifa nyingi ndio mnampoteza, kwa unafki ulio hapa bongo ni kheri kumsikiliza anaekukosoa kuliko anaekusifu..Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi sana ametuletea maendeleo we are so proud of her
Ukubwa au udogo wa eneo unao mchango katika kujenga uchumi wa nchi. Jiografia ya nchi na ukubwa wake huamua wingi wa rasilimali zitumikazo katika kujenga uchumi.Kwangu mimi kuupiga au kutoupiga mwingi haikuwa hoja yangu, bali hoja yangu ilikuwa ni uwezo wenu vijana wa kuchakata mambo kama wasomi kwamba,
"Nchi kubwa (Tanzania) haiwezi kupiga hatua za maendeleo kwa haraka kuliko nchi ndogo (Rwanda)"? Kweliii?
Kama wewe ndiye msomi unayetegemewa kujenga hoja ktk chama au kitengo cha propaganda ktk chama Chako urudi shule.
Ni kweli yote haya uliyosema, lakini Tanzania ina faida (advantage) kubwa ya kuwa na jiografia nzuri kila eneo linafikika an kuna rasilimali nyingi ( ukijumuisha na rasilimali watu) ndio faida za kuwa nchi kubwa na hivyo tulipaswa tuwe tumeendelea kuliko Rwanda!Ukubwa au udogo wa eneo unao mchango katika kujenga uchumi wa nchi. Jiografia ya nchi na ukubwa wake huamua wingi wa rasilimali zitumikazo katika kujenga uchumi.
Kilomita za mraba za lami za Tanzania kwa mfano huwezi kuzilinganisha na zile za Rwanda.
Mahitaji ya watoto wa shule wa TZ huwezi kuyalinganisha na yale ya Rwanda.
Ukubwa wa bajeti pia wa TZ huwezi kulinganisha na Rwanda yenye ukubwa kama mkoa mmoja tu wa nchi hii.
Nchi ina rasilimali nyingi lakini na idadi ya watu ni changamoto pia. Huwezi ukalinganisha na Rwanda yenye idadi ya watu wasiozidi milioni tano.
Na kupiga kelele humu JF au kuonyesha ujuaji wa maneno sio kigezo cha uwezo wa uongozi unapopewa nafasi siku zote.
Ukubwa au udogo wa eneo unao mchango katika kujenga uchumi wa nchi. Jiografia ya nchi na ukubwa wake huamua wingi wa rasilimali zitumikazo katika kujenga uchumi.
Kilomita za mraba za lami za Tanzania kwa mfano huwezi kuzilinganisha na zile za Rwanda.
Mahitaji ya watoto wa shule wa TZ huwezi kuyalinganisha na yale ya Rwanda.
Ukubwa wa bajeti pia wa TZ huwezi kulinganisha na Rwanda yenye ukubwa kama mkoa mmoja tu wa nchi hii.
Nchi ina rasilimali nyingi lakini na idadi ya watu ni changamoto pia. Huwezi ukalinganisha na Rwanda yenye idadi ya watu wasiozidi milioni tano.
Na kupiga kelele humu JF au kuonyesha ujuaji wa maneno sio kigezo cha uwezo wa uongozi unapopewa nafasi siku zot
Ni kheri tu ungeliacha kutoa huu ufafanuzi, maana aya hii ya kwanza umeshajibu vizuri.Ukubwa au udogo wa eneo unao mchango katika kujenga uchumi wa nchi. Jiografia ya nchi na ukubwa wake huamua wingi wa rasilimali zitumikazo katika kujenga uchumi.
Kilomita za mraba za lami za Tanzania kwa mfano huwezi kuzilinganisha na zile za Rwanda.
Mahitaji ya watoto wa shule wa TZ huwezi kuyalinganisha na yale ya Rwanda.
Ukubwa wa bajeti pia wa TZ huwezi kulinganisha na Rwanda yenye ukubwa kama mkoa mmoja tu wa nchi hii.
Nchi ina rasilimali nyingi lakini na idadi ya watu ni changamoto pia. Huwezi ukalinganisha na Rwanda yenye idadi ya watu wasiozidi milioni tano.
Na kupiga kelele humu JF au kuonyesha ujuaji wa maneno sio kigezo cha uwezo wa uongozi unapopewa nafasi siku zote.
Huu ni uongozi wa Rais Samia Suluhu kwaiyo after few years lazima tutaendelea kuizidi hata RwandaNi kweli yote haya uliyosema, lakini Tanzania ina faida (advantage) kubwa ya kuwa na jiografia nzuri kila eneo linafikika an kuna rasilimali nyingi ( ukijumuisha na rasilimali watu) ndio faida za kuwa nchi kubwa na hivyo tulipaswa tuwe tumeendelea kuliko Rwanda!
Tatizo sio hayo uliyayaainisha kama mafanikio!
TATIZO ni end product ya Elimu yenyewe!!
YAANI mhitimu anatembea na Bahasha akitafuta ajira na ajira HAMNA na elimu haikumuandaa kujiajiri!
Tatizo Ndio hilo Hata kama ajenge madarasa kama utitiri kama Elimu HAINA tija HAINA TU!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Yote haya Rais Samia Suluhu ameyatatua saizi Elimu ya Tanzania iko vizuriWabunge wafahamishwe matatizo ya msingi ya mfumo wa elimu nchi hii
Ukiwasikiliza wabunge asilimia 99 wakati wanachangia bajeti ya wizara ya elimu ni kama hawafahamu vizuri mzizi wa matatizo ya elimu nchi hii. Wengi wanazungumzia vitu vyepesi sana Kuwasadia kwa uchache haya ni baadhi ya matatizo makubwa hasa katika shule na vyuo vya serikali; 1. Upungufu...www.jamiiforums.com
Mtu akifanya mazuri lazima umsifie tu automatically Rais Samia Suluhu amefanya maendeleo ,mengi acha tumpe sifa zakeSamia anaupiga mwingi lakini nyie mnaosema kila kitu samia na sifa sifa nyingi ndio mnampoteza, kwa unafki ulio hapa bongo ni kheri kumsikiliza anaekukosoa kuliko anaekusifu..
Ukifanya mazuri huhitaji wapiga debe yataonekana tuu na kiujumla watu watakusifu