Mambo 10 yaliyofanyika katika Wizara ya Elimu ndani ya muda mfupi

Tatizo sio hayo uliyayaainisha kama mafanikio!

TATIZO ni end product ya Elimu yenyewe!!

YAANI mhitimu anatembea na Bahasha akitafuta ajira na ajira HAMNA na elimu haikumuandaa kujiajiri!

Tatizo Ndio hilo Hata kama ajenge madarasa kama utitiri kama Elimu HAINA tija HAINA TU!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Alumni wenzangu tuliosoma Cuba tumekuelewa.
 
Acha kuendelea kujiweka uchi, jibu swali.
"Je nchi ikiwa kubwa itawahi au itachelewa kupata maendeleo?"

Na Vipi kuhusu, china, A/kusini, Algeria, Marekani, Misri, nk?
Huwezi kulinganisha Marekani na Tanzania mkuu. Hakuna anayejiweka uchi, ujuaji unakusumbua mkuu.
 
Mkuu kama eneo ni KUBWA hata rasilimali ni nyingi pia!!!
Kinachohitajika ni Brain KUBWA tu wala sio mbwembwe!!

Madini yote hayo,milima yote Hiyo,Mbuga zote hizo na n,k

Halafu utoe sababu zote hizo duni!!?

Nyerere angesikia huyu kijana alieweka mikono kichwani mwake enzi hizo akiwa mdogo leo analopoka vitu kama hivi angetamani siku ile akuzabe vibao!!

Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya!
Tozo zilipwe hizi mbwembwe za katiba mpya na mazungumzo baada ya habari.

Madini ndio hawa mabilionea wapya wanauza Tanzanite kila kukicha, maziwa na maji ya bahari yanatumiwa vizuri tu,

Tupo katika njia nzuri yenye kueleweka, hizi kelele humu ndani ni hulka ya kitanzania siku zote ipo.
 
umejitoa faham hujaandika KWA MSAADA WA PESA ZA COVID... Halafu umechambua jambo moja umeliwekea vipengele vingiiii ili ionekane kafanya mengi kumbe hakuna lolote la maana... Mnawadanganya wapumbavu kwa kuwawekea data za kupika pika tu... Mkiambiwa mtaje majina ya hizo shule au vituo shikizi mnaishia kubwabwaja hamuez kutaja... Inshort hii awamu haina jambo jipya walilolifanya zaidi ya kuanzisha tozo na kuishia ktk matumbo ya watu... Mnatumia sekta ya elimu na afya na barabara kama vichaka vya kuwapumbaza WaTz wasiojitambua...
 
Cha muhimu Samia anaupiga mwingi haya mengine ni maongezi ya ziada.
Kwangu mimi kuupiga au kutoupiga mwingi haikuwa hoja yangu, bali hoja yangu ilikuwa ni uwezo wenu vijana wa kuchakata mambo kama wasomi kwamba,

"Nchi kubwa (Tanzania) haiwezi kupiga hatua za maendeleo kwa haraka kuliko nchi ndogo (Rwanda)"? Kweliii?

Kama wewe ndiye msomi unayetegemewa kujenga hoja ktk chama au kitengo cha propaganda ktk chama Chako urudi shule.
 
Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi sana ametuletea maendeleo we are so proud of her
Samia anaupiga mwingi lakini nyie mnaosema kila kitu samia na sifa sifa nyingi ndio mnampoteza, kwa unafki ulio hapa bongo ni kheri kumsikiliza anaekukosoa kuliko anaekusifu..

Ukifanya mazuri huhitaji wapiga debe yataonekana tuu na kiujumla watu watakusifu
 
Kwangu mimi kuupiga au kutoupiga mwingi haikuwa hoja yangu, bali hoja yangu ilikuwa ni uwezo wenu vijana wa kuchakata mambo kama wasomi kwamba,

"Nchi kubwa (Tanzania) haiwezi kupiga hatua za maendeleo kwa haraka kuliko nchi ndogo (Rwanda)"? Kweliii?

Kama wewe ndiye msomi unayetegemewa kujenga hoja ktk chama au kitengo cha propaganda ktk chama Chako urudi shule.
Ukubwa au udogo wa eneo unao mchango katika kujenga uchumi wa nchi. Jiografia ya nchi na ukubwa wake huamua wingi wa rasilimali zitumikazo katika kujenga uchumi.

Kilomita za mraba za lami za Tanzania kwa mfano huwezi kuzilinganisha na zile za Rwanda.

Mahitaji ya watoto wa shule wa TZ huwezi kuyalinganisha na yale ya Rwanda.

Ukubwa wa bajeti pia wa TZ huwezi kulinganisha na Rwanda yenye ukubwa kama mkoa mmoja tu wa nchi hii.

Nchi ina rasilimali nyingi lakini na idadi ya watu ni changamoto pia. Huwezi ukalinganisha na Rwanda yenye idadi ya watu wasiozidi milioni tano.

Na kupiga kelele humu JF au kuonyesha ujuaji wa maneno sio kigezo cha uwezo wa uongozi unapopewa nafasi siku zote.
 
Ni kweli yote haya uliyosema, lakini Tanzania ina faida (advantage) kubwa ya kuwa na jiografia nzuri kila eneo linafikika an kuna rasilimali nyingi ( ukijumuisha na rasilimali watu) ndio faida za kuwa nchi kubwa na hivyo tulipaswa tuwe tumeendelea kuliko Rwanda!
 
Na kupiga kelele humu JF au kuonyesha ujuaji wa maneno sio kigezo cha uwezo wa uongozi unapopewa nafasi siku zot

Ukubwa au udogo wa eneo unao mchango katika kujenga uchumi wa nchi. Jiografia ya nchi na ukubwa wake huamua wingi wa rasilimali zitumikazo katika kujenga uchumi.

Kilomita za mraba za lami za Tanzania kwa mfano huwezi kuzilinganisha na zile za Rwanda.

Mahitaji ya watoto wa shule wa TZ huwezi kuyalinganisha na yale ya Rwanda.

Ukubwa wa bajeti pia wa TZ huwezi kulinganisha na Rwanda yenye ukubwa kama mkoa mmoja tu wa nchi hii.

Nchi ina rasilimali nyingi lakini na idadi ya watu ni changamoto pia. Huwezi ukalinganisha na Rwanda yenye idadi ya watu wasiozidi milioni tano.

Na kupiga kelele humu JF au kuonyesha ujuaji wa maneno sio kigezo cha uwezo wa uongozi unapopewa nafasi siku zote.
Ni kheri tu ungeliacha kutoa huu ufafanuzi, maana aya hii ya kwanza umeshajibu vizuri.

Hayo yaliyofuata baada ya aya hiyo ndiyo yanayo kuonesha kuwa wewe unajifanya mjuaji huku ukiwa hauwezi kuchnganua mambo.

Jaribu kulinganisha mantiki ya aya ya kwanza na hayo maneno mengine uliyoyaandika katika aya zinazofuata kisha utafakari; Je yanakinzana au yanajenga urali wa hoja yako?.

Kwa ufupi ni kuwa; ktk hali ya matumizi mazuri ya rasilimali na rasilimaliwatu nchi yenye eneo kubwa itafaidika zaidi kuliko nchi yenye eneo dogo.

Na ikiwa nchi yenye eneo kubwa haitaweza kunufaika na ukubwa wake basi kwa vyovyote vile kutakuwepo na mapungufu ya matumizi sahihi ya ama rasilimali au rasilimaliwatu na pengine vyote viwili.

Ama kuhusu kutoa maoni humu jf, kwangu siyo kutafuta uongozi maana uongozi hutafutwa kwa kwenda kuomba kura kwa Wananchi, ila tu ninajaribu kushiriki mawazo huru ya kulijenga taifa kuliko kulsifia sifia hata pale pasipo na umuhimu.

Suala la tozo ni zuri ila limekuwa na mapungufu na huo ndio uwe mjadala chanya wa kurekebisha na siyo kusifia tu huku Wananchi wakiteseka.
 
Ni kweli yote haya uliyosema, lakini Tanzania ina faida (advantage) kubwa ya kuwa na jiografia nzuri kila eneo linafikika an kuna rasilimali nyingi ( ukijumuisha na rasilimali watu) ndio faida za kuwa nchi kubwa na hivyo tulipaswa tuwe tumeendelea kuliko Rwanda!
Huu ni uongozi wa Rais Samia Suluhu kwaiyo after few years lazima tutaendelea kuizidi hata Rwanda
 
Naunga hoja mkono
Tatizo sio hayo uliyayaainisha kama mafanikio!

TATIZO ni end product ya Elimu yenyewe!!

YAANI mhitimu anatembea na Bahasha akitafuta ajira na ajira HAMNA na elimu haikumuandaa kujiajiri!

Tatizo Ndio hilo Hata kama ajenge madarasa kama utitiri kama Elimu HAINA tija HAINA TU!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Yote haya Rais Samia Suluhu ameyatatua saizi Elimu ya Tanzania iko vizuri
 
Samia anaupiga mwingi lakini nyie mnaosema kila kitu samia na sifa sifa nyingi ndio mnampoteza, kwa unafki ulio hapa bongo ni kheri kumsikiliza anaekukosoa kuliko anaekusifu..

Ukifanya mazuri huhitaji wapiga debe yataonekana tuu na kiujumla watu watakusifu
Mtu akifanya mazuri lazima umsifie tu automatically Rais Samia Suluhu amefanya maendeleo ,mengi acha tumpe sifa zake
 
Back
Top Bottom