Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Kuna mmoja yupo AIM ananisumbua kweli yani......Yaaani kafanikiwa kuanzisha urafiki ghafla tu,simu hazikomi na message za Good Morning kila wakati. She think i will fall to that trap,Kiukweli i dont wanna force my friends and family to become my clients,maana ukiwa huko inabidi kila mtu unayefahamiana naye umforce awe mteja wako.
 
Asante kaka mleta mada yupo wanajaribu kumliza ila wanashindwa
 
Ndo kinachotokea kwangu, simu na txts daily wanadai tukutane makumbusho lapf towers
 
Good morning project partner haha....Shituka mkuu utapigwa pesa zako hapo
 
Ndo kinachotokea kwangu, simu na txts daily wanadai tukutane makumbusho lapf towers

Doh hapa nampigaga chenga za kutosha sana,huwa nalazimisha kama anataka kuonana tuonane posta tena sa kumi jioni....hapo anatoa visingizio maana anajua hataweza kunishawishi mwenyewe
 
Doh hapa nampigaga chenga za kutosha sana,huwa nalazimisha kama anataka kuonana tuonane posta tena sa kumi jioni....hapo anatoa visingizio maana anajua hataweza kunishawishi mwenyewe
Hahaaaa wakianza kukupa ushuhuda mara oooh huyu alikua mwalim akaacha akajiunga sa hv yupo gud, huyu mwanafunzi wa chuo sijui kaachieve gari [emoji119][emoji119]
 
Hahaaaa wakianza kukupa ushuhuda mara oooh huyu alikua mwalim akaacha akajiunga sa hv yupo gud, huyu mwanafunzi wa chuo sijui kaachieve gari [emoji119][emoji119]

Labda kama wote mule ndani wana nyumba zao walizojenga kwa hela za qnet/AIM ndio watanishawishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
unakutana na mtu anakwambia ana bidhaa nzuri na yenye ubora, imethibitishwa na TBS na viwango vya kimataifa, alafu bithaa inauzwa buku ila wewe utapewa kwa promotion shilingi 500.ukimuangalia anekuuzia unatamani kulia...Qnet ni walewale tu hahaha GOOD MORNING.
 
Hahhaha hv na wa kwenye mabasi ya mikoani wanaouza bidhaa ni aim global ama hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…