Kuna jamaa aliupasua mwezi vipande vipande ukadondoka nyuma ya mlima hukoKuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
Orodha itaendelea, ongezea na zako
- Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
- Quran ipo moja tuu ππππ(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
- Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani ππππ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Kilanunachoandika kuhusu Qur'an au mafundisho ya Kiislam weka na ushahidi wa ulipoyatowa kwenye Qur'an ili tukuelimishe, bila hivyo itabaki kuwa ni uongo wako tu.Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
Orodha itaendelea, ongezea na zako
- Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
- Quran ipo moja tuu ππππ(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
- Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani ππππ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Kwa hiyo bichwa lako la habari lilikuwa ni uongo tu. Utumbo wako wa habari umeketa mambo ya Kiislam usiyoyajuwa.Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
Orodha itaendelea, ongezea na zako
- Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
- Quran ipo moja tuu ππππ(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
- Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani ππππ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Hapana, "ardhi" mara nyingi sana kwenye Qur'an inamaanisha "scripture", sifahamu Kiswahili chake, labda ni "maandiko".Ardhi ipo moja yenye mabara 7
Weka ushahidi kijana tukupe darsa.Mito ya pombe peponi π
Hakuna mbingu kwenye Uislam.Wamedanganya kusema mbingu zipo saba. Mbingu zipo kama tisa hivi.
Weka ushahidi kijana, wacha porojo za kijinga.Papuchi 72, jua kuzama matopeni,
hauna haja ya kukirihisha watu kwa maneno ya kijinga. Kama huna hoja ni heri ukae kimya tu.Mungu yupo lakini dini ni umavimavi fulani hivi.
Tuwekee ushahidi, wacha uongo.Katika vitabu vya hadithi za kidini, quran ni kitabu chenye hadithi za kitoto na zisizo na kichwa wala miguu kuliko vitabu vingine vyote.
Mohamed kugundua kwamba kitabu chake kimejaa childish stories, akatishia watu mtu yoyote atakaehoji hizo hadithi zake za kitaahira auwawe.
Dini ni stori za kutunga ila kwenye quran zilitumgwa na watu wasio na akili yoyote.
Mbingu inaitwaje kwenye quran?Hakuna mbingu kwenye Uislam.
Neno lililotumika ni "samaawat", maana yake ni "elevations" za uelewa. Sifahamu mtafsiri hilo neno "mbingu" alilitowa wapi.
Mbingu inaitwaje kwenye quran?Hakuna mbingu kwenye Uislam.
Neno lililotumika ni "samaawat", maana yake ni "elevations" za uelewa. Sifahamu mtafsiri hilo neno "mbingu" alilitowa wapi.
Tueleze kuwa mtume alienda mbingu ya 7 na hakuweza ona kuwa dunia ni duara... Pia amesema kuwa jua na mwezi ipo mbingu ya kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]Nyinyi wagalatia mnadanywa sana Hadi mmekuwa kama matahira wa kihindi
Quran ipi inayolazimisha watu waiamini?
Mbona Quran inasema hakuna kulazimishana katika dini
Yani wewe ukitaka iamini Quran kama hutaki endelea na maisha yako ya Kigalitia na Muislam akikushikia panga Ili uiamini Quran automatically anakuwa sio Muislam maana anakuwa anapingana na Quran
Quran 2:256 -
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
HayaWamedanganya kusema mbingu zipo saba. Mbingu zipo kama tisa hivi.
Hakuswali kwenye temple la Suleiman bali aliswali kwenye masjid aqsaKuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
Orodha itaendelea, ongezea na zako
- Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
- Quran ipo moja tuu ππππ(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
- Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani ππππ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Qur an nyingine ziko wapKuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
Orodha itaendelea, ongezea na zako
- Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
- Quran ipo moja tuu ππππ(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
- Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani ππππ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Hii tafsiri duniani unayo wewe... Tuambie hizo mbingu saba zipo wapi maana mtume alizielezea vizuri tuu na kusema jua na mwezi na nyota zipo mbingu ya kwanza [emoji23][emoji23]Hiyo ardhi sqba na mbingu saba kwenye Qur'an mapoyoyo wengi hamuelewi maana yake.
Hamuelewi ni nini maana ya lexicon au "locution" kwa Kiarabu "lisan" yaani Kiswahili chake neno kwa neno ni "ulimi".
Watafsiri Wengi wametafsiri neno kwa neno lakini siyo maana kusudiwa.
Ni sawa na kijana wa Dar anaposema "ntakukata mtama'. Huo mtama anaokujata uko wapi?
Umeshawah7 kukisikia kisa cha tajiri na masikini na nyama ya ulimi?
Kama umekisikia basi epewa kuwa maneno yaliyotafsiriwa neno kwa neno kutafsiri "ardhi" na "Mbingu" hayakuwa na maana hiyo kabisa.
Hy8 ndiy8 muujiza mmojawqpo wa Qur'an kilugha, ilipoongea habari za Ibrahim ikatumia ya "lexicon" na "locution" ya Ibrahim, halikadhalika kwa wengine.
Tena unatakiwa kujua Mtume Muhammad (s.a.w) ndio mtu wa kwanza kufanya Time travelKuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.