Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Weka hayo maandikoUjio wa Yesu utakuwa ni kwa mala ya tatu, kama mtu anasoma maandiko kwa kutaka kuyaelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hayo maandikoUjio wa Yesu utakuwa ni kwa mala ya tatu, kama mtu anasoma maandiko kwa kutaka kuyaelewa.
Tunaomba andiko ambalo Yesu alisema hayo maneno
NI MKRISTO KWA IMANI,,Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
Orodha itaendelea, ongezea na zako
- Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
- Quran ipo moja tuu 😂😂😂😂(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
- Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani 😂😂😂😂 wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Hapana Yesu hakudanganya,kwanza inabidi utambue haya mazungumzo alikuwa anayafanya na nani,haya mazungumzo alikuwa anawaeleza mitume wake wa4 waliomfwata kuhusu kujua hali ya hekalu lao la Ibada maana muda si mrefu aliwaambia kuwa hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe lingine,katika majibu yake Yesu anatoa ishara inayoonyesha wakati ambao mfumo uliopo wa kiyahudi kutia ndani hekalu utakoma lakini pia anazungumzia ishara za wakati ujao zitakazowasaidia wakristo kutambua uwepo wa Yesu na karibu na mwisho wa mfumo mzima wa mambo duniani,,kwaiyo alikuwa anazungumzia swala la Israeli kuvamiwa na Roma lakini pia dalili za umalizio wa mfumo mzima wa Dunia utakaowasaidia wakristo kujua kuwa wapi siku za mwisho.Aya hizi zinahusiana na tabiri za Yesu kuhusu siku za mwisho wa dunia, zinapatikana katika
Matthew 24:34; Mark 13:30; and Luke 21:32. Jesus said, “Truly I say to you, this generation will not pass away until all these things take place.” The things that Jesus had been speaking of—the rise of the Antichrist, the desolation of the Holy Place, and the darkening of the sun—did not happen during the lifespan of people alive in Jesus’ day.
Obviously, Jesus lied.
Na hakuna aliyedhubutu na atakayedhubutu kupinga.Vitabu vyote Kuna watu wa kawaida wanaosema uongo.
Ila Yesu Kristo pekee hajawahi kusema Uwongo.
Na alisema hadharani mbele za watu kuwa;
"Ni nani anishuhudiaye kati yenu kuwa mimi ni mwenye dhambi"
"Mimi ndio Njia, Kweli na Uzima"
Na hukujawahi tokea mtu yeyote hadi hii leo aliyempinga.
Mwaminini huyo.
Kwa Mungu siku 1 nikama siku elf moja, na siku elf 1 nikama siku moja! Kwahiyo kaa kwakutulia fanya yalio mema na kumtukuza Mungu .Yesu aliwaambia watu wa enzi zake kwamba atarudi kabla kizazi kile hakijakufa. Yani itakuwa mwisho wa dunia.
Watu wakaona hakuna haja ya kufanya kazi, kulima, kujenga, dunia inaisha katika miaka michache ijayo.
Mpaka leo zaidi ya miaka 2000 bado hajarudi.
Yesu alikuwa muongo kweli.
Vilaza huwa hawajui kuwa Sayansi huwa inaiga uumbaji wa Mungu.SAYANSI ULIPATAGA ZIRO . KWELI KWENYE DUNIA ARDHI INA LEYA SABA. NA View attachment 2877209View attachment 2877210
Alisema je akiamua wakae mpaka atakaporudi wao haiwahusuAliwaambia baadhi ya wanafunzi wake hawatakufa hadi mwisho wa dunia wa dunia
Atuwekee andiko maana hata halipo hivyo .Weka hilo andiko.
Hukulielewa kalisome tena.
Nimelifafanua hapo juu.
Alisema kwamba kizazi kile hakitakufa chote na mwisho wa dunia utafika.Hapana Yesu hakudanganya,kwanza inabidi utambue haya mazungumzo alikuwa anayafanya na nani,haya mazungumzo alikuwa anawaeleza mitume wake wa4 waliomfwata kuhusu kujua hali ya hekalu lao la Ibada maana muda si mrefu aliwaambia kuwa hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe lingine,katika majibu yake Yesu anatoa ishara inayoonyesha wakati ambao mfumo uliopo wa kiyahudi kutia ndani hekalu utakoma lakini pia anazungumzia ishara za wakati ujao zitakazowasaidia wakristo kutambua uwepo wa Yesu na karibu na mwisho wa mfumo mzima wa mambo duniani,,kwaiyo alikuwa anazungumzia swala la Israeli kuvamiwa na Roma lakini pia dalili za umalizio wa mfumo mzima wa Dunia utakaowasaidia wakristo kujua kuwa wapi siku za mwisho.
Yani Mungu kashindwa ku reconcile accounting tumuelewe?Kwa Mungu siku 1 nikama siku elf moja, na siku elf 1 nikama siku moja! Kwahiyo kaa kwakutulia fanya yalio mema na kumtukuza Mungu .
Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.Vilaza huwa hawajui kuwa Sayansi huwa inaiga uumbaji wa Mungu.
Wanasayansi huwa ni matapeli tu.
Mungu alishafanya kila kitu.
Hapa Kuna kitu hujakielwa,hao mitume walimuuliza kuhusu kuangushwa kwa hekalu baada ya Yesu kusema hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe lingine,hapo Yesu alikuwa anazungumzia kuhusu uvamizi ambao serikali ya Roma ingefanya kwenye taifa la Israeli,lakini baada ya kuzungumZia Israeli kuvamiwa na Roma akawa anazungumzia juu ya umalizio wa mfumo wote duniani yani siku za mwisho kwa Dunia nzima, na ni kweli mwaka wa 70W.K Israeli ilivamiwa na Roma na hekalu likavunjwa,ambapo hao mitume wanne wote walikuwepo na walishuhudia uharibu huoAlisema kwamba kizazi kile hakitakufa chote na mwisho wa dunia utafika.
Mpaka leo zaidi ya miaka 2,000 imepita, mwisho wa dunia haujafika na wala Yesu hajarudi.
Sasa mbona havihusiani na hicho kilichomaanishwa? Kizazi hiki hakitapita , hata hayo yote yatakapotimia !Aya hizi zinahusiana na tabiri za Yesu kuhusu siku za mwisho wa dunia, zinapatikana katika
Matthew 24:34; Mark 13:30; and Luke 21:32. Jesus said, “Truly I say to you, this generation will not pass away until all these things take place.” The things that Jesus had been speaking of—the rise of the Antichrist, the desolation of the Holy Place, and the darkening of the sun—did not happen during the lifespan of people alive in Jesus’ day.
Obviously, Jesus lied.
Hapa Kuna kitu hujakielwa,hao mitume walimuuliza kuhusu kuangushwa kwa hekalu baada ya Yesu kusema hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe lingine,hapo Yesu alikuwa anazungumzia kuhusu uvamizi ambao serikali ya Roma ingefanya kwenye taifa la Israeli,lakini baada ya kuzungumZia Israeli kuvamiwa na Roma akawa anazungumzia juu ya umalizio wa mfumo wote duniani yani siku za mwisho kwa Dunia nzima, na ni kweli mwaka wa 70W.K Israeli ilivamiwa na Roma na hekalu likavunjwa,ambapo hao mitume wanne wote walikuwepo na walishuhudia uharibu huo
Sasa mbona havihusiani na hicho kilichomaanishwa? Kizazi hiki hakitapita , hata hayo yote yatakapotimia !
Ndiyo uumbaji wa Mungu ndiyo kila kitu.Vilaza huwa hawajui kuwa Sayansi huwa inaiga uumbaji wa Mungu.
Wanasayansi huwa ni matapeli tu.
Mungu alishafanya kila kitu.
Sayansi haijawahi leta mambo tofauti na ambayo tayari yalishawahi kuwepo.Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Hujaweza kuondoa contradictions zilizopo jatika dhana ya uwepo wa Mungu.
Unaongelea habari ya imani zaidi ya fact hapa.
Kabla ya ku dismiss watu kuwa ni vilaza.
1. Thibitisha Mungu yupo.
2. Ondoa contradictions zilizopo kwenye dhana ya kuwepo Mungu.