Mambo ambayo mwanaume haupaswi kumfanyia mwanamke

Kwangu mke wangu ndio Kila kitu huniambii kitu, hao marafikii ukiumwa unajinyea hutaawaona ila mama watoto atanipambania.What matter is the choice of the type of wife....

Namshukru Mungu kuniletea wakuendana namimi,nikimtisha anatishika na anatii bila shurti hiki ndicho kinanifanya nijione Nipo mikono salama na ninampenda hatarii sipendi hata nnzii wamdondokee watamuumiza❤️❤️
 
It will end in tears
 
That’s why vijana oeni mkiwa at least umejitosheleza sio anakuja ndio mnaanza atakuzingua tu,kua na maisha yako tyr means biashara zako,nyumba yako at least you have something to start with them yalemtakayochuma wote andika majina ya watoto hapo umemaliza
 
Namba 2 umenisanua, nilikuwa nafikiria hili nalitatua vp.
 
Kwani ukifuata maelekezo ya muamzisha uzi inamaanisha humpendi mkeo?
 
NI SUALA LA MUDA TU[emoji1545].

NIMEKAA PALEE [emoji1542][emoji1542]
 
Hiyo namba 5 mkishakuwa na watoto ndo unaingizwa chaka bila kutaka.
 
It's a matter of time we mpumbavu!

Unakajua kale kaboda anapenda kukatuma muda wote na kukasifia kwako?! Ndo kanakulambia asali yako sasa kama hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…