Mambo ambayo mwanaume haupaswi kumfanyia mwanamke

Mambo ambayo mwanaume haupaswi kumfanyia mwanamke

Sijui ni ushamba wa mapenzi.. ila umempenda mtu.. kama kweli umempenda alafu unashindwa kumsupport mwenza wako hata kama unaona potential kisa unaogopa kuachwa!!!

ule usemi wa do it for the love hauna maana hapo?

Nadhani kuwe na kiasi ndio ila haimaanishi ushindwe kumsaidia mwenzio..
Uumsaidie kwa lipi? Toa mifano ya mambo ya kumsaidia. Kumuoa tu au kuishi naye tayari ni msaada mkubwa sana
 
1. Usimsomeshe, hiyo ni kazi ya mzazi wake

2. Usimuanzishie biashara, bali anzisha biashara na umwajiri

3. Usifanye uhalifu au deal yoyote illegal ili umridhishe mwanamke kwa kibunda

4. Usiweke mahitaji na matakwa yake kabla ya yako. Jitangulize na jipende wewe kwanza.

5. Usiitelekeze familia yako na marafiki zako kwa ajili ya mwanamke

6. Usiache kufikia malengo yako kwa sababu tu ya mwanamke.

Learn or perish
Tunaishi kwenye misingi
 
Mkuu siku nyingine tuletee uzi wa mambo ya kumfanyia mwanamke.
 
Kwangu mke wangu ndio Kila kitu huniambii kitu, hao marafikii ukiumwa unajinyea hutaawaona ila mama watoto atanipambania.What matter is the choice of the type of wife....

Namshukru Mungu kuniletea wakuendana namimi,nikimtisha anatishika na anatii bila shurti hiki ndicho kinanifanya nijione Nipo mikono salama na ninampenda hatarii sipendi hata nnzii wamdondokee watamuumiza❤️❤️
Mtaachana tu
 
Back
Top Bottom