Mambo ambayo mwanaume haupaswi kumfanyia mwanamke

1. Usimsomeshe, hiyo ni kazi ya mzazi wake

2. Usimuanzishie biashara, bali anzisha biashara na umwajiri

3. Usifanye uhalifu au deal yoyote illegal ili umridhishe mwanamke kwa kibunda

4. Usiweke mahitaji na matakwa yake kabla ya yako. Jitangulize na jipende wewe kwanza.

5. Usiitelekeze familia yako na marafiki zako kwa ajili ya mwanamke

6. Usiache kufikia malengo yako kwa sababu tu ya mwanamke.

Learn or perish
Vizuri 👍
 
YOU ARE LOST🥲🥲 WANAO WATAPATA TABU OTHERWISE UWE MZIMA MILELE
Na wewe mke wangu Vicky Cruz utaishi milele?
Mjue code zenu ziko wazi mnadai kufanyiwa mambo makubwa na mazuri kwa kichaka cha watoto.
Who are watoto by the way? Nijibu mke wangu wapi umemchungulia Muumba ukaona mi nadedi kabla yako?
 
1. Usimsomeshe, hiyo ni kazi ya mzazi wake

2. Usimuanzishie biashara, bali anzisha biashara na umwajiri

3. Usifanye uhalifu au deal yoyote illegal ili umridhishe mwanamke kwa kibunda

4. Usiweke mahitaji na matakwa yake kabla ya yako. Jitangulize na jipende wewe kwanza.

5. Usiitelekeze familia yako na marafiki zako kwa ajili ya mwanamke

6. Usiache kufikia malengo yako kwa sababu tu ya mwanamke.

Learn or perish
10. Usioe
 
Back
Top Bottom