Vizuri 👍1. Usimsomeshe, hiyo ni kazi ya mzazi wake
2. Usimuanzishie biashara, bali anzisha biashara na umwajiri
3. Usifanye uhalifu au deal yoyote illegal ili umridhishe mwanamke kwa kibunda
4. Usiweke mahitaji na matakwa yake kabla ya yako. Jitangulize na jipende wewe kwanza.
5. Usiitelekeze familia yako na marafiki zako kwa ajili ya mwanamke
6. Usiache kufikia malengo yako kwa sababu tu ya mwanamke.
Learn or perish
Umesema vyemaVizuri 👍
The right man at the right moment.It will end in tears
Na wewe mke wangu Vicky Cruz utaishi milele?YOU ARE LOST🥲🥲 WANAO WATAPATA TABU OTHERWISE UWE MZIMA MILELE
10. Usioe1. Usimsomeshe, hiyo ni kazi ya mzazi wake