johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe una miaka 42 kama sikosei maana mmepishana kidogo na bwashee Mira πHizo propqganda mmelishwa sana.
Hizo propqganda mmelishwa sana.
Baby killers mwaka jana kuna wanajeshi wa israel waliwauwa watoto wa wanne wa palestina watoto walikuwa tu wanacheza ufukwen wao wakawapa shaba
Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!
3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!
4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!
5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!
Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
Wayahudi wana roho mbaya sana .wana hasira na waliyo fanyiwa na Hitler sijui
Hapa Mimi nimeleta kile nilichokuwa sijui Kama kipo!Wewe ulichojibu no kuwa kinachofanyika ni sahihi maana Israel anajilinda Kama nimekuelewa!Borne-e:
Umesahau hotuba ya Mahmoud Ahmadinajed aliyoitoa Kwenye kongomano la 2005"The World Without Zionism" Na kusema tuaifuta Israel kwenye ramani ya Dunia! Ukiwa na watu kama hawa ambao in actual sense wamekula yamini ya kukuangamiza utafanya nini?
Nia yao iko hadharani mno.....Israel inajua hayo yote....Hizo ni baadhi ya Hatua tu....
Hamas sio Kama ISIS na boko haramu!Hamas ni resistance group!

hii inawezekana kabisa, mana unaweza shangaa hata mwinjaku kapata teuziMuisrael mwenye miaka 5 uwezo wake wa akili anamzidi Mtanzania mwenye miaka 40 na Wapalestina ni hivyo hivyo
Wenzenu mambo ya umri siyo kigezo tena!
Mimi hata shishangai roho zao kuwa mbaya kiasi hicho. Kama waliweza kumsurubu Yesu mpaka kifo kwa bila kosa lolote.Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!
3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!
4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!
5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!
Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
Hamas sio Kama ISIS na boko haramu!Hamas ni resistance group!
Toa ushaidi wa hizo tuhumaResistance group ya kuchoma vitoto vidogo moto, kuteka, kubaka na kuua raia wasiokua na silaha.
Toa ushaidi wa hizo tuhuma
Hawa mayahudi walimuua YesuWayahudi wana roho mbaya sana .wana hasira na waliyo fanyiwa na Hitler sijui
Nafikili lugha ya malkia inakutatiza au umesoma harakaharakaUlichokiweka hata Hamas watakukana....Wewe na viongozi wa Hamas nani tumwamini...?
Akili Za Kindezi na KitumwaMuisrael mwenye miaka 5 uwezo wake wa akili anamzidi Mtanzania mwenye miaka 40 na Wapalestina ni hivyo hivyo
Wenzenu mambo ya umri siyo kigezo tena!
Hamas ndio watu pekee wanawatumia watoto kwenye vita mfano huwatumia watoto kuwarushia mawe wanajeshi wa Israel,huwafindisha watoto chuki kuwatukana wanajeshi wa Israel kuwanenea lugha isiyofaa,pia hamas huficha silaha zao kwenye shule za watoto,kwenye misikiti, hospital na Hamas hujificha shuleni kipindi cha mapambano huwatumia watoto kama kinga na huweka picha za watoto wadogo kutafuta huruma za Dunia, Hamas inafaa washtakiwe ni kwa kuwatumia watoto kwenye ugaidi na kuweka miundo mbinu ya kigaidi shule za watoto na hospital na kambi za wakimbiziKwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!